
uncklets za shanga tanzania
shanga za miguuni karibuni zinapatikana

zebra wall pictures
hizi ni picha zenye wanyama aina ya pundamilia

picha za twiga za ukutani
picha hizi zimechorwa wanyama kama twiga,zinafanya muonekano nzuri wa nyumba au ofisini

lioness carving
vinyago vya simba jike wa mti wa mpingo

beans necklaces tanzania
mkufu wa shingoni uliotengenezwa na maharage na kidani cha ganda la mbegu za miti

urembo wa ganda za konokono wa baharini
hivi huwekwa mezani kama pambo la nyumba

necklaces za shanga na kidani cha kiatu
necklaces za shanga na kidani cha kiatu karibuni ofisini

kinyago cha tembo tanzania
vinyago vya tembo vya kuchonga vinapatikana ofisini kwetu moshi mjini

hereni za rangi ya bendera ya tanzania
hereni hizi zina rangi nne ambazo ni bluu,kijani,nyeusi na njano

hereni za maganda ya mbegu za matunda
hereni hizi zimetengenezwa kwa maganda ya mbegu za matunda

hereni za maharage na shanga
hizi zimesukwa kwa shanga na mbegu za maharage

elephant carving from tanzania
vinyago vya tembo vinapatikana vikubwa na vidogo

lions carving from tanzania
vinyago vya simba dume vya mti wa mpingo vinapatikana karibuni sana

carved soapstone jewerly trinket box with zebra african design on
carved soapstone jewerly trinket box with zebra african design on

wooden masks from tanzania
kinyago cha mti chenye sura ya mtu

hereni za shanga na wire tanzania
hereni hizi zina rangi za silver,nyekundu na nyeusi,na zimesukwa kwa wire na shanga

bird wrap carved wood and metal pig hog folk
kinyago cha ndege aina ya kanga kimetengenezwa kwa mti ,nyuzi na chuma

ebony wine glass from tanzania
hii ni glass imara imetengenezwa kwa mti wa mpingo,hutumika kuwekea vinywaji kama wine

parrotbill or kiwikiu
Kiwikiu or Maui Parrotbill use their large parrot-like beaks to split branches and to extract insect larvae, their primary prey. Adult Kiwikiu are 5 to 6 inches

hereni za shanga na mbegu za matunda
hizi ni hereni zilizotengenezwa kwa shanga kubwa na mbegu za matunda aina ya topetope

hereni za marawa ya mgomba na wire
ni hereni zilizotengenezwa kwa marawa ya migomba na wire

hardboard pictures
picha za ukutani zilizochorwa vizuri na kupakwa rangi za kupendeza

picha ya jamii ya kimaasai
picha hii inaonyesha baadhi ya wanawake wa jamii ya kimaasai wakiwa katika makazi yao

picha ya mfugaji na mifugo yake
picha inayomwonyesha mfugaji wa kimaasai akiwa na ng’ombe pamoja na mbwa

vinyago mapenzi tanzania
vinyago mapenzi vinaonyesha mwanamke na mwanaume wakiwa wamekaribiana

picha ya simba dume
picha ya simba dume iliyochorwa na kupakwa rangi nzuri ili kuleta muonekano mzuri

ebony bracelets tanzania
bangili za mkononi zilizotengenezwa kwa mti wa mpingo ni imara sana

medali za marathon
medali za ushindi mwaka 2018 ,Mt kilimanjaro marathon tanzania Africa June 24,2018

chana za mti wa mpingo
ni chana nzuri imara za mti wa mpingo kwa ajili ya kuchania nywele

necklaces za shanga
hizi zimesukwa kwa shanga na kuwekwa kidani cha urembo wa konokono wa baharini

maasai bead wire
cheni zimetengenezwa kwa shanga na wire pamoja na kidani za gold

mkufu wa shanga na kidani cha pembe ya ng'ombe
necklaces za shanga zilizotengenezwa kwa wire na shanga na pembe ya ng’ombe kama kidani cha kuning’inia

bracelets from tanzania
bracelets za round zenye rangi za tofauti ni nzuri na imara

bangili za shaba tanzania
hizi ni bangili zilizotengenezwa kwa madini ya shaba ambazo huvaliwa mkononi

malachite rings tanzania
Malachite is a beautiful decorative stone. Its rich, patterned coloration in shades of green is unique among gems. Malachite’s low hardness makes it easy to work, though it still takes a polish very well. These qualities, combined with ready availability

necklaces za amber
hizi ni necklaces za shingoni zimetengenezwa kwa shanga kubwa nyekundu (amber)na nyuzi nyeusi

pete za shanga tanzania
pete zimesukwa kwa wire na shanga ni nzuri za zinavaliwa na watu wote

pochi za ngozi tanzania
pochi za ngozi za wanyama kama ng’ombe na mbuzi

necklaces za shanga za herufi w na h
necklaces za herufi na majina za mifupa

crocodile carving from tanzania
hivi ni vinyago vya mifupa ya wanyama vimechongwa na kufanya muonekano wa mamba

soap stone hippo
kinyago chenye sura ya kiboko kilichochongwa kutoka kwenye jiwe

vinyago vya wanawake wa maasai
vinyago vya shanga na wire vya asili ya kimaasai

necklaces za misalaba ya mifupa
necklaces za shanga na mifupa zenye umbo la misalaba

necklaces za majani ya migomba
necklaces za kusukwa kwa shanga kubwa na kuwekwa vidani vya majani makavu ya migomba

necklace za shanga na vifuu vya nazi
cheni za shingoni zimetengenezwa kwa shanga na vifuu vya nazi

necklaces za shanga na mifupa ya wanyama
cheni za shanga ndogo zimesukwa kwa nyuzi na kuwekwa urembo wa kidani cha mfupa

pochi za ngozi
pochi nzuri za ngozi ya ng’ombe zipo imara sana na zinadumu Kwa muda mrefu

mikanda ya mbwa
mikanda ya ngozi ya kufunga mbwa shingoni

ebony afrika carving
ramani ya bara la africa iliyotokana na mti wa mpingo uliochongwa na kuonyesha wanyama wakubwa watano ambao ni tembo,simba,kifaru,chui na kiboko

open letter from tanzania
hivi ni vijiti vya miti vilivyotengenezwa kwa ajili ya kufungulia barua au bahasha iliyofungwa

maasai bead wire
hivi vimesukwa kwa shanga ndogo na wire, hutumika kuhifadhia vitu vidogo visivunjike au kupata kutu.hitu hivyo ni kama hereni,bracelets, cheni,pete,n.k

malachite eggs
Malachite is a beautiful decorative stone. Its rich, patterned coloration in shades of green is unique among gems. Malachite’s low hardness makes it easy to work, though it still takes a polish very well. These qualities, combined with ready availability

vikapu vya kusukwa na katani
vikapu hivi vimesukwa na nyuzi za katani na kupakwa rangi nzuri za tofauti, na kuwekwa urembo wa shanga

snail shells
maganda ya konokono yanatumika kama mapambo ya mezani,urembo wa ofisini

bracelets za mti wa mpingo
bangili nyeusi za mti wa mpingo ni imara sana na zinadumu kwa muda mrefu

malachite carving
Malachite is a beautiful decorative stone. Its rich, patterned coloration in shades of green is unique among gems. Malachite’s low hardness makes it easy to work, though it still takes a polish very well. These qualities, combined with ready availability

shanga za kiunoni
shanga za kiuno zinazosukwa kwa uzi na shanga ndogo ambazo huvaliwa Na wanawake

pink tanzanite earrings from tanzania
the official color of tanzanite is blue but we have the fancy color of tanzanite, that is purple tanzanite, golden yellow tanzanite,pink tanzanite and green tanzanite

raw blue tanzanite earrings from tanzania
tanzanite is the official birthstone for december.the gem is also believed to attract energies of good luck, wealth, and success propelling you into your best life.

tanzanite pendants from tanzania
tanzanite is the official birthstones for december,tanzanite is a stone with many properties. beyond its unprecedented beauty, intense range of blues, and rarity, tanzanite has often been associated with new life and new beginnings. the stone can be gifted for

iolite pendants from tanzania
iolite is a stone of vision that exudes clear communication and cosmic connections, guiding ancient explorers and aiding in soul exploration.

black tourmaline pendants from tanzania
Black Tourmaline crystal stone is an excellent crystal for everyone because it’s the bodyguard stone that provides protection and elimination of negative energy. Wear it as jewelry, keep it in your car, place it all over the house, near computers. Seriou

sandstone pendants from tanzania
Sandstone treats wounds and broken bones. It improves water retention and assists in the restoration of degenerative eyesight, weak fingernails and thinning hair.

appetite pendants from tanzania
Apatite helps to clear and strengthen the throat chakra, which helps to heal the heart and open the mind to spiritual guidance. This process makes us stronger communicators, both in our personal lives and in business.

white quartz pendants from tanzania
quartz is excellent for harmonizing and stabilizing one’s environment and is helpful in romantic relationships. It is said to amplify healing energy and is particularly effective for chronic fatigue, arthritis, bone injuries, depression, diabetes, fibrom

blue kyanite pendants
Meaning: Kyanite is an aluminosilicate mineral known for logical thinking and healing, often found in shades of blue, green, black, and orange. Healing Properties: Kyanite offers physical healing by relieving pain, lowering blood pressure, and aiding recovery

green kyanite pendants from tanzania
Meaning: Kyanite is an aluminosilicate mineral known for logical thinking and healing, often found in shades of blue, green, black, and orange. Healing Properties: Kyanite offers physical healing by relieving pain, lowering blood pressure, and aiding recovery

raw emerald pendants
emerald ni madini yanayopatikana katika nchi ya tanzania na katika nchi nyingine kama colombia,brazil,zambia.emeralds is the birthstones of may

raw ruby pendants
inapatikana nchini tanzania katika mkoa wa arusha wilaya ya longido,ni jiwe la bahati la kuzaliwa la mwezi july

raw amethyst pendant
amethyst ni aina ya madini yanayopatikana katika bara la africa katika nchi za zambia,namibia,siberia, na katika nchi ya tanzania zinapatikana mkoa wa tanga na yana rangi ya zambarau.

tanzania neckties
tai za shingoni zenye rangi ya bendera ya tanzania zilizosukwa kwa shanga ndogo za kijani,njano, nyeusi na bluu

wooden fridge magnets
fridge magnets za material ya mbao zenye shape za oval na wanyama kama tembo,twiga, fisi,na pia zimechorwa picha ya mlima kilimanjaro na kibo

keys holder za wanyama
holder za funguo zenye vinyago vya wanyama kama simba,chui,tembo na wengine vyenye rangi nyeusi na brown

keys holder za africa
keys holder zilizotengenezwa kwa ngozi design ya ramani ya bara la africa na zinavutia kwa ajili yakuweka funguo zako

keys holder za tanzania
zimetengenezwa kwa kipisi cha ngozi iliyokatwa na kufanya umbo la ramani ya tanzania, zinadumu kwa muda marefu karibuni

keys holder
keys holder kwa ajili yakuweka funguo,zimetengenezwa kwa ngozi na wire ili kuhifadhi funguo bila wasiwasi

hippopotamus carvings
vinyago vya wanyama wakubwa aina ya viboko vya kuchonga vya mti wa mpingo vinapatikana kwa ajili ya mapambo ya nyumbani,hotelini,ofisini n.k

kinyago cha sura ya moran wa kabila la maasai
vinyago vya asili ya makabila kama maasai vipo karibuni

kinyago cha asili ya mwanamke wakimaasai
kinyago cha mti wa mpingo kinachoonesha asili ya wanawake wa kabila la maasai

kibanda alipolazwa yesu kristo
hii ni sehemu alipozaliwa yesu kristo katika mji wa bethlehemu ndani ya hori la ng’ombe

vikombe vya miti
vikombe vya kuchonga vinapatikana ,ni imara pia vimechorwa maua mazuri yà waridi

vinyago vya faru
vinyago vya faru vikubwa na vidogo vya miti ya mpingo ni imara sana karibuni

kinyago cha kobe
vinyago vya kobe wakubwa na wadogo wote wanapatikana kwetu

nyumba za asili ya wachaga
vinyago vinavyofanana na nyumba za asili za wachaga vipo ofisini kwetu

kinyago chui
vinyago vinavyofanana na chui Na vyenye madoa doa pia vinapatikana

vinyago vya konokono
vinyago vya konokono wa majini na nchi kavu pia karibuni vinapatikana

vinyago vya mamba
vinyago vya mamba weupe na weusi pia vipo

kinyago cha nyati
vinyago vya nyati pia vinapatikana ,tupo moshi mjini karibu na ofisi za posta

kinyago cha simba
vinyago vya simba dume na jike pia vipo ofisini karibu ujipatie bei nafuu

kinyago cha tembo
vinyago vya tembo vikubwa na vidogo vinapatikana karibuni sana

zebra earrings
hereni za rangi ya pundamilia zimesukwa kwa wire na nyuzi nakufanya kuwa rangi ya milia

hereni za shanga original
hereni nzuri za shanga ndogo zenye rangi kijani na njano

hereni za rihanna
hizi ni hereni za round zenye picha ya mwanamke mrembo aliyevaa kiasi leo

hereni za shanga nyekundu
hereni za shanga nyekundu za kuning’inia zinapatikana karibuni

hereni shanga za gold
hereni zenye njano na gold zakuvutia zipo karibu ujipatie

hereni za shanga
hereni zenye rangi ya njano, orange,kijani,blue,nyekundu na nyeupe

hereni za umbo la twiga
hereni nzuri za kuning’inia urembo wa shape ya twiga,tembelea ofisi zetu jirani na posta moshi mjini

silver earrings
hereni nzuri za urembo unaofanana na simba zinapatikana karibuni sana

hereni za round za shanga
hereni nzuri za shanga zenye umbo la duara za rangi nyeusi, nyekundu, njano,na nyeupe

hereni za shanga rangi ya bendera
hereni nzuri zimesukwa kwa wire na shanga za kijani,njano,bluu na nyeusi

culture earring
hereni za duara za shanga za kijani,nyeupe, bluu,pink na zambarau

hereni za shanga original
hereni nzuri za shanga zakuning’inia zenye rangi nyekundu na gold

hereni za coins za mjerumani
hereni zimetengenezwa na sarafu za mjerumani za mwaka 1906

hereni za coins za muingereza
hereni zimetengenezwa na sarafu za zamani za muingereza pamoja Na shanga

beaded maasai necklaces
necklaces kubwa zenye round pana zilizotengenezwa kwa shanga na wire,ni imara kabisa na zinadumu Kwa muda mrefu

shanga za shingoni
shanga za shingoni za rangi tofauti kama bluu,nyekundu,kijani,purple zinapatikana ofisini karibuni sana

necklaces za shanga na majani ya mgomba
necklaces za shingoni zimetengenezwa kwa majani ya mgomba,uzi,shanga kubwa za rangi tofauti

culture necklaces
zimetengenezwa kwa miti ya mianzi,mbao,pamoja na shanga nyeusi za kuvutia

necklaces za shanga nyeupe na gold
necklaces za rangi za gold na nyeupe,pia ni nzuri mpya kabisa

new maasai necklaces
necklaces za kimaasai za culture na zenye rangi tofauti kama nyeupe,gold,nyeusi, na silver.

necklaces za shanga na mianzi
necklaces zimetengenezwa kwa mianzi na shanga na kidani cha silver

necklaces za shanga na wire
cheni zimetengenezwa kwa wire na shanga za rangi za bluu na urembo wa silver

necklaces za shanga na ivory
shanga za shingoni zimetengenezwa kwa pembe za wanyama,mbao na rangi za tofauti

cheni za shanga kubwa
necklaces zenye rangi za bendera ya tanzania, na zilizotengenezwa vizuri

shanga nyekundu za shingoni
necklaces za shanga nyekundu ndogo na kubwa nzuri zakupendeza zipo dukani kwetu karibu sana

necklaces za sarafu za zamani
hizi zimesukwa kwa nyuzi na kufungwa coins za zamani nakuwa kama kidani cha shingoni

necklace za urembo wa baharini
cheni za shingoni zenye vidani vya urembo wa baharini na shanga nzuri

shanga za shingoni
necklaces za shanga kubwa na ndogo za kisasa zinapatikana karibu ujipatie

necklaces zenye misalaba na vidani vya umbo la moyo
ni cheni nzuri zina misalaba na pia vidani vya maumbo tofauti kama moyo,duara,na rangi za tofauti

necklaces nyeusi za shanga
zimetengenezwa kwa shanga nyeusi nakuwekwa kidani chenye sura ya mtu,mnyama au ndege

necklaces za urembo wa samaki
shanga zenye urembo wa wanyama kama tembo, samaki, punda milia,nyati n.k

necklaces za shanga
necklaces za shanga zenye rangi nzuri za bendera za nchi mbalimbali

bracelets pana za shanga
bracelets za shanga zenye upana na zina rangi za bendera za nchi mbalimbali

bracelets za shanga kubwa na ndogo
zimetengenezwa kwa shanga kubwa na ndogo na zenye rangi tofauti za kuvutia,karibu ujipatie bracelets yako

bracelets za shanga za mikono
shanga za mikono za rangi ya gold zakuvutia na pia zipo za kufunga na kufungua,zenye kuvutika

bracelets zenye umbo la moyo
ni bracelets za kamba na zina urembo wenye umbo la moyo na maumbo mengine ya wanyama kama tembo

bracelets za shanga za mikononi
bracelets za shanga zakupunguza na kuongea size zote,ni nzuri sana ziko za rangi tofauti

bracelets zenye majina mbalimbali
bracelets tofauti tofauti zenye majina ya vitu,watu na miji zinapatikana ofisini kwetu moshi mjini jengo la posta

wauzaji wa bracelets za shanga kubwa
bracelets zenye shanga kubwa na zenye rangi nzuri zinapatikana,tembelea ofisi zetu jirani na ofisi za posta moshi mjini

wauzaji wa bracelets za mviringo
bracelets za shanga zenye umbo la mviringo,ni nzuri sana karibu ujipatie Kwa bei nafuu kabisa

bracelets za coins
bracelets nzuri za coins zinapatikana ofisini kwetu moshi mjini jirani na ofisi za posta au tupigie simu namba 0677775000

shilingi elfu kumi 10000 bank of tanzania
shilingi elfu kumi ya bluu yenye picha ya twiga, simba,na kuvuli cha twiga pia jengo la benki kuu

shilingi elfu kumi 10000 benki kuu ya tanzania
shilingi elfu kumi ya bluu yenye picha ya rais wa pili wa tanzania yenye simba na jengo la benki

bank of tanzania five thousand shillings 5000
shilingi elfu tano tano yenye picha ya twiga watano,mlima kilimanjaro,faru na rais wa pili wa tanzania mh.Ali hassan mwinyi..

shilingi elfu moja 1000 bank of tanzania
shilingi elfu moja noti kubwa yenye picha ya rais mwinyi na tembo wawili,benki kuu ya tanzania fedha halali kwa malipo ya shilingi elfu moja

shilingi elfu moja 1000 benki kuu ya tanzania
shilingi elfu moja 1000 yenye picha ya rais wa pili wa tanzania mh.Ali hassan mwinyi pamoja na tembo wawili

shilingi elfu moja 1000 benki kuu ya tanzania
benki kuu ya tanzania shilingi elfu moja yenye picha ya rais wa kwanza wa tanzania,tembo na mtoto Na kuvuli cha twiga

benki kuu ya tanzania,shilingi mia tano 500
shilingi mia tano yenye picha ya rais wa kwanza wa zanzibar sheikh abeid amani karume

benki kuu ya tanzania, shilingi mia tano 500
shilingi mia tano yenye picha ya nyati na benki kuu ya tanzania pamoja na nyoka

shilingi mia tano 500 benki kuu ya tanzania
shilingi mia tano fedha halali kwa malipo ya shilingi mia tano,benki kuu ya tanzania

benki kuu ya tanzania,shilingi mia tano 500
fedha halali kwa malipo ya shilingi mia tano, benki kuu ya tanzania shilingi mia tano

benki kuu ya tanzania,shilingi mia mbili 200
fedha halali kwa malipo ya shilingi mia mbili 200,benki kuu ya tanzania

shilingi mia mbili 200 benki kuu ya tanzania
fedha halali kwa malipo ya shilingi mia mbili,benki kuu ya tanzania. shilingi mia mbili yenye picha ya rais wa pili mheshimiwa Ali hassan mwinyi

shilingi mia moja 100 ya maasai na nyerere
bank of tanzania legal tender for one hundreds shillings, shilingi mia moja yenye picha ya masai na ng’ombe tisa na yenye rangi nyekundu

bank of tanzania shilingi mia moja 100
bank of tanzania, shilingi mia moja yenye picha ya simba wawili na rais wa kwanza wa tanzania, mwalimu julius k.nyerere

shilingi mia moja, benki kuu ya tanzania
benki kuu ya tanzania fedha halali kwa malipo ya shilingi mia moja,.yenye picha ya nyerere na wahitimu wa vyuo vikuu

benki kuu ya tanzania,shilingi mia moja 100
shilingi mia moja ya noti yenye picha ya nyerere na wanafunzi wanasoma vitabu,pamoja na wakulima shambani

shilingi mia moja 100 benki kuu ya tanzania
shilingi mia moja yenye picha ya rais wa kwanza wa tanzania yenye rangi ya bluu

benki kuu ya tanzania shilingi hamsini 50
fedha halali kwa malipo ya shilingi hamsini 50,benki kuu ya tanzania

shilingi hamsini 50 benki kuu ya tanzania
fedha halali kwa malipo ya shilingi hamsini, benki kuu ya tanzania shilingi hamsini 50

bank of tanzania, twenty shillings 20
legal tender for twenty shillings, bank of tanzania 20 shillings

benki kuu ya tanzania, shilingi ishirini 20
shilingi ishirini 20 yenye picha ya nyerere, rais wa kwanza wa tanzania

shilingi ishirini 20 benki kuu tanzania
benki kuu ya tanzania shilingi ishirini 20

benki kuu ya tanzania, shilingi ishirini 20
benki kuu ya tanzania, fedha halali Kwa malipo ya shilingi ishirini 20

shilingi kumi 10,bank of tanzania
legal tender for ten shilingi,shilingi kumi ya kwanza noti ya nyerere

benki kuu ya tanzania, shilingi kumi 10
benki kuu ya tanzania, fedha halali Kwa malipo ya shilingi kumi 10

five shillings bank of tanzania
shilingi tano ya kwanza ya noti ya nyerere, bank of tanzania legal tender for five shillings

deutsch ostafrika 1 heller 1910
east africa 1 heller deutsch ostafrika 1910

british east africa 5 cents 1957
queen elizabeth the second five cents east africa 1957

east africa 1 shilling 1924
georgivs v rex et ind: imp east africa 1 shilling

deutsch ostafrika 1907 one heller
deutsch east afrika one heller 1907

east africa 1930 georgivs v rex et ind:imp
british east afrika one cent 1930 georgivs v

half shilling east afrika 50 cents
east africa fifty cents 1955 half shilling, queen elizabeth the second

east afrika 1922 ten cents
georgivs v rex et ind:imp: ten cents east africa 1922

one cent 1 east africa 1961
queen elizabeth the second, one cent east africa 1961

east africa 1934 five cent 5
east afrika 1934 five cents georgivs v rex et ind:imp:

east africa 1925 five cent 5
british east africa coins, georgivs v rex et ind:imp: five cents 1925

one cent 1949 british east afrika
georgivs sextivs-rex one cent 1949

british east afrika 10 cents 1951
east afrika 1951 georgivs sextivs-rex ten cents

british east afrika coins, one cent 1950
georgivs sextivs-rex one cent east afrika 1950

british east afrika one cent 1942
georgivs vi rex et ind.imp one cent east afrika 1942

british east afrika one cent 1955
one cent queen elizabeth the second, east afrika 1955

senti ishirini 1973 rais wa kwanza wa tanzania
tanzania 1973 rais wa kwanza,senti ishirini

shilingi tano 1992 tanzania
shilingi tano 5 ya tanzania 1992

tanzania 1980 rais wa kwanza,senti hamsini
senti hamsini ya tanzania 1980

tanzania 1975 shilingi moja 1
rais wa kwanza wa tanzania 1975 shilingi moja

shilingi moja 1974, rais wa kwanza wa tanzania
rais wa kwanza wa tanzania 1974, shilingi moja 1

tanzania 1984 shilingi moja 1
shilingi moja ya mwenge 1984 tanzania

rais wa tanzania 1977 senti ishirini 20
senti ishirini ya mbuni 1977 rais wa kwanza wa tanzania

shilingi moja 1981,tanzania shilingi moja
shilingi moja ya mwenge 1981 rais wa kwanza wa tanzania

shilingi moja 1977 rais wa kwanza tanzania
rais wa kwanza wa tanzania,shilingi moja 1977

shilingi moja 1980 rais wa kwanza wa tanzania
rais wa kwanza wa tanzania shilingi moja 1980

shilingi kumi 10 rais wa kwanza wa tanzania 1992
mwalimu julius k. nyerere rais wa kwanza wa tanzania, shilingi kumi 1992

shilingi moja 1972 rais wa kwanza wa tanzania
rais wa kwanza wa tanzania 1972 shilingi moja 1

tanzania 1980 rais wa kwanza shilingi moja
shilingi moja 1980 rais wa kwanza wa tanzania

shilingi moja 1990 tanzania
tanzania 1990 shilingi moja

shilingi tano 1987 tanzania
tanzania 1987 shilingi tano ya ndizi, ng’ombe, mahindi na mtama

shilingi moja 1988 rais wa tanzania
rais wa tanzania 1988,shilingi moja

tanzania 1982 rais wa kwanza wa tanzania, shilingi moja 1
shilingi moja ya tanzania 1982,rais wa kwanza

shilingi kumi 1988,mwalimu julius k. nyerere
rais wa kwanza wa tanzania 1988,shilingi kumi 10

senti ishirini 20 tanzania 1975
senti 20 rais wa kwanza tanzania 1975

shilingi tano 5 tanzania 1991
tanzania 1991 shilingi tano yenye picha ya ng’ombe, mahindi na ndizi

tanzania 1981,senti kumi 10
10 cents first president of tanzania 1981

senti kumi 10 tanzania 1979
rais wa kwanza tanzania 1979,senti kumi 10

rais wa kwanza wa tanzania 1975,senti ishirini
senti ishirini 20 tanzania 1975

shilingi kumi 1990 mwalimu julius k. nyerere
rais wa kwanza wa tanzania, mwalimu julius k. nyerere shilingi kumi 1990

senti hamsini 50 tanzania 1981
rais wa tanzania 1981,senti hamsini 50

rais wa tanzania 1972,shilingi moja 1
shilingi moja 1 tanzania 1972

shilingi tano 1993 tanzania
1993 shilingi tano ya tanzania

tanzania 1983 shilingi moja
rais wa kwanza tanzania 1983 shilingi moja 1