Support: tanzaniaonlinemarket@gmail.com 0677775000

Login Get Registered
Nunua Uza
Login Get Registered
  • HOME PAGE
  • NUNUA UZA OFFICE
  • NUNUAUZA.COM GALLERY
  • Checkout
  • Cart
  • Contact
Submit Ad
Social network
Nunua Uza

Follow us:

Submit Ad
  • Checkout
  • Cart
  • NUNUAUZA.COM GALLERY
  • Contact
  • My account
  • Checkout
  • Cart
  • NUNUAUZA.COM GALLERY
  • HOME PAGE
  • Home
  • Login
  • Get Registered
  • Submit Ad
classiera loader

Total ads: 21 ads posted

Minada Moshi Kilimanjaro View Ad Event
View Ad
Minada Moshi Kilimanjaro
Category : Services Location : Kilimanjaro Region

Tunatoa huduma za mnada. Kama una vitu vingi ambavyo unataka kuviuza kwa haraka na kwa mara moja na siku moja Basi tumia njia ya mnada Posta Moshi. Mnada unaweza kufanyikia mahali vitu vilipo au kama inafaa vitapelekwa eneo la wazi lililoopo mbele ya Ofisi za

Wauzaji wa Shanga Moshi-Kilimanjaro View Ad For Sale
View Ad
Wauzaji wa Shanga Moshi-Kilimanjaro
Category : Wauzaji Location : Kilimanjaro Region

Tunauza urembo wa shanga za kuvaa masikioni, shingoni, mkononi, kiunoni na mguuni. Duka lipo jengo la posta Moshi mkabala na ofisi ya NunuaUza.com na ni mahali penye heshima ya faragha unaweza kununua chochote na kujaribisha. Simu 0677775000

Ofisi za madalali wa Moshi Kilimanjaro View Ad Lost & Found
View Ad
Ofisi za madalali wa Moshi Kilimanjaro
Category : Services Location : Kilimanjaro Region

Ofisi za Madalali wa moshi Kilimanjaro zipo jengo la Posta Moshi. 1. Kama unataka kuuza chochote kwa haraka njoo ofisini au tupigie 2. Kama unataka kununua chochote njoo ofisini au tupigie !!! 3. Kama unataka kukodisha chochote – nyumba, chumba, gari nk.

Wauzaji wa Pete za Ndoa Moshi Kilimanjaro View Ad Price : 10,000-100,000 For Sale
Price : 10,000-100,000
View Ad
Price : 10,000-100,000
Wauzaji wa Pete za Ndoa Moshi Kilimanjaro
Category : Wauzaji Location : Kilimanjaro Region

Tunauza Pete za ndoa za bei nafuu zenye ubora was kisasa na madini yasio Paula wala kuchuja. Guaranteed for life time hazitapungua ubora. Bei ni kuanzia elfu 10 hadi laki moja

Matangazo ya ajira View Ad Wanted
View Ad
Matangazo ya ajira
Category : Jobs Location : Dodoma Region

Nunuauza.com tunatafuta Watu wakufanya nao kazi za mtandaoni katika mikoa yote. Unafanya kazi pale ulipo. Malipo; inategemea na jitihada yako ya kazi. Elimu; ujue kutumia smartphone. Tuandikie meseji whatsapp tuu. Usipige Simu.

Tunatangaza Biashara Mtandaoni View Ad Price : Tsh.3,000/M & 30,000/Yr PRO SERVICES
Price : Tsh.3,000/M & 30,000/Yr
View Ad
Price : Tsh.3,000/M & 30,000/Yr
Tunatangaza Biashara Mtandaoni
Category : Matangazo Location : Kilimanjaro Region

NunuaUza.com ni Taasisi iliyosajiliwa kwa shuguli za matangazo ya aina zote pamoja na shuguli zingine za kibiashara. NunuaUza inamiliki Mtandao kadhaa ya matangazo ya ndani ya Tanzania na imeingia makubaliano na Mitandao mikubwa ya Nje ya Nchi kwaajili ya kuta

Ushauri wa Biashara View Ad Price : 10,000 PRO SERVICES
Price : 10,000
View Ad
Price : 10,000
Ushauri wa Biashara
Category : Services Location : Kilimanjaro Region

Tunatoa Huduma za Ushauri kwenye biashara(Business Advisory) na uwekezaji kwenye sector mbali mbali. Tueleze unataka kufanya nini tutakupa Data juu ya biashara hiyo au uwekezaji huo. Tuna Uzoefu wa miaka mingi kwenye nyanja mbali mbali kila mmoja kwa taaluma n

Magari ya zamani View Ad For Sale
View Ad
Magari ya zamani
Category : Automotive Location : Kilimanjaro Region

Kama unataka kununua au kuuza magari ya zamani sana kwajili ya kumbu kumbu au maonyesho ya magari au kuyarudisha Ulaya basi wasiliana nasi. Tumewahi kusafirisha magari nje ya Nchi tunaweza kukupa muongozo. 0677775000

Unajimu wa Nyota View Ad PRO SERVICES
View Ad
Unajimu wa Nyota
Category : Services Location : Kilimanjaro Region

Unajimu (wakati mwingine pia: astrolojia kutoka Kiingereza: “astrology”) ni mafundisho yasiyo ya kisayansi juu ya uhusiano kati ya nyota na maisha hapa duniani. Wafuasi wa unajimu hufundisha ya kwamba nyota zinaathiri maisha ya watu na matukio duni

Punguza Unene–Vipimo vya BMI – Tiba na Ushauri View Ad Price : TZS 1,000 PRO SERVICES
Price : TZS 1,000
View Ad
Price : TZS 1,000
Punguza Unene–Vipimo vya BMI – Tiba na Ushauri
Category : Health & Fitness Location : Kilimanjaro Region

Fahamu BMI yako. ( Kucheki endapo uzito wa mwili unaendana na urefu wako na umri wako). Tunashauri Tiba mbadala kwa kutuumia Lishe mbadala ya madawa kuepuka madhara ya Badae yanayotokana na dawa za kisasa Njoo Ofisi za NunuaUza.com Jengo la posta Moshi , mlang

Mawe ya Bahati ya mwezi uliozaliwa View Ad For Sale
View Ad
Mawe ya Bahati ya mwezi uliozaliwa
Category : Tanzanite Jewelry Location : Kilimanjaro Region

Tunauza mawe ya bahati na matibabu kulingana na nyota yako na mwezi uliozaliwa. Kama una changamoto yoyote ya kimaisha au kimwili na afya tuambie inawezekana ikahusiana na unajimu wa madini. Wasiliana nasi 0677775000. Ofisi zetu zipo moshi mjini. Bei zetu ni r

Tiba kupitia mawe na Madini View Ad For Sale
View Ad
Tiba kupitia mawe na Madini
Category : Health & Fitness Location : Kilimanjaro Region

Tunauza mawe ya bahati na matibabu kulingana na nyota yako na mwezi uliozaliwa. Kama una changamoto yoyote ya kimaisha au kimwili na afya tuambie inawezekana ikahusiana na unajimu wa madini. Wasiliana nasi 0677775000. Ofisi zetu zipo moshi mjini. Bei zetu ni r

Wanunuzi wa Sarafu na noti za zamani View Ad Wanted
View Ad
Wanunuzi wa Sarafu na noti za zamani
Category : Uncategorized Location : Kilimanjaro Region

NunuaUza.com tuna nunua sarafu za mjerumani na noti za zamani enzi ya mkoloni. Mfano rupia, heller 5, heller 20 na rupia 15 ya Tabora ya mwaka 1916 yenye rangi ya shaba /dhahabu. Usipige Simu. Tuma picha whatsapp usubiri utajibiwa ndani ya SAA 72 yaani siku 3

Wauzaji wa Viwanja Moshi View Ad For Sale
View Ad
Wauzaji wa Viwanja Moshi
Category : Real Estate Location : Kilimanjaro Region

Tunanunua na kuuza mashamba, Viwanja na Nyumba Moshi Kilimanjaro. Wasiliana nasi 0677775000 au fika ofisini kwetu Kwenye jengo la posta moshi utaona bango letu limeandikwa NUNUAUZA.COM

Featured

NunuaUza.com View Ad PRO SERVICES
View Ad
NunuaUza.com
Category : Services Location : Dar es Salaam Region

NunuaUza.com Ndio Mtandao pekee unao Kua Kwa Kasi Zaidi Kuliko Mitandao Mingine chipukizi ya Matangazo Nchini Tanzania. Tupatie Maelezo ya biashara au Kampuni yako, picha za biashara, mahali ilipo, email, namba za simu na Video kama unayo. Tutaweka tangazo pam

Featured

TANZANITEDIRECTORY.COM View Ad PRO SERVICES
View Ad
TANZANITEDIRECTORY.COM
Category : Tanzanite Jewelry Location : Kilimanjaro Region

Kama unafanya Biashara ya kununua na kuuza Madini ya Tanzanite na Mengineyo Huu ndio Mtandao Maalumu kwa ajili yako !!!! Wasiliana nasi utupatie picha za biashara yako, mahali ilipo, maelezo ya bidhaa au huduma, email address, namba za simu, na video moja kama

Featured

SEARCHENGINE.CO.TZ View Ad PRO SERVICES
View Ad
SEARCHENGINE.CO.TZ
Category : Services Location : Dar es Salaam Region

Weka Biashara au Kampuni yako kwenye wwww.searchengine.co.tz kwa garama ya Tsh. 30,000/= Kwa mwaka mmoja. Ukitangaza na sisi lazima utaona mabadiliko!!! Kama unatoa huduma za Malazi, Utalii, Shopping Malls, Tanzanite and Jewelry n.k Huu ndio Mtandao sahihi kwa

Featured

TANZANIAONLINEMARKET.COM View Ad PRO SERVICES
View Ad
TANZANIAONLINEMARKET.COM
Category : Services Location : Dar es Salaam Region

Tangaza Baishara au Kampuni yako BURE!!! Kupiti Soko La Mtandao Tanzania wwww.tanzaniaonlinemarket.com Weka Matangazo Bure Bila Kikomo!!!! NI BURE MWAKA MZIMA NA ITABAKI BURE MILELE !!!!!! Kama ukishindwa kuweka Tangazo tuambie 0677775000

Featured

TANZANITEGALLERY.COM View Ad PRO SERVICES
View Ad
TANZANITEGALLERY.COM
Category : Tanzanite Jewelry Location : Kilimanjaro Region

Nunua Tanzanite, Vidani, Pete, Hereni, Bangili za Tanzanite. Unaweza kununua jiwe ukaenda kulifitisha mwenyewe pia. Tunayo Madini aina zote. Mawe yanayoendana na Mwezi wako uliozaliwa Tunayo. Unaweza kuagiza kupitia Mtandao wetu au Ukafika ofisini kwetu. Tanza

Featured

KILIMANJARODIRECTORY.COM View Ad PRO SERVICES
View Ad
KILIMANJARODIRECTORY.COM
Category : Travel & Tours Location : Kilimanjaro Region

Mtandao wa Kilimanjaro Directory ni maalumu kwa wafanyabiashara wa mkoa wa Kilimanjaro tu. Huduma za Hotel I na Lodge, Tanzanite, Kampuni za utalii na shopping Malls

Featured

SAFARIADVERTISER.COM View Ad PRO SERVICES
View Ad
SAFARIADVERTISER.COM
Category : Travel & Tours Location : England

Kwa wenye kampuni za utalii na zenye leseni kwa majibu sheria za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mnakaribishwa kuweka mipangilio ya safari na vifurushi vya safari – SAFARI PACKAGES NA SAFARI ITINERARIES kwenye Mtandao wa bookings za safari na Hotels Tan

Featured Ads

TANZANIAONLINEMARKET.COM

TANZANIAONLINEMARKET.COM

Category: Services
SEARCHENGINE.CO.TZ

SEARCHENGINE.CO.TZ

Category: Services
NunuaUza.com

NunuaUza.com

Category: Services
SAFARIADVERTISER.COM

SAFARIADVERTISER.COM

Category: Travel & Tours
TANZANITEGALLERY.COM

TANZANITEGALLERY.COM

Category: Tanzanite Jewelry

Latest Ads

Minada Moshi Kilimanjaro

Minada Moshi Kilimanjaro

Category: Services
Wauzaji wa Shanga Moshi-Kilimanjaro

Wauzaji wa Shanga Moshi-Kilimanjaro

Category: Wauzaji
Ofisi za madalali wa Moshi Kilimanjaro

Ofisi za madalali wa Moshi Kilimanjaro

Category: Services
Wauzaji wa Pete za Ndoa Moshi Kilimanjaro
10,000-100,000

Wauzaji wa Pete za Ndoa Moshi Kilimanjaro

Category: Wauzaji
Matangazo ya ajira

Matangazo ya ajira

Category: Jobs

Subscribe & Follow

Archives

  • May 2022

Categories

  • Automotive
  • Health & Fitness
  • Jobs
  • Matangazo
  • Real Estate
  • Services
  • Tanzanite Jewelry
  • Travel & Tours
  • Uncategorized
  • Wauzaji
There are many variations of passages of Lorem Ipsum available, but the majority have suffered alteration in some form, by injected humour, or randomised words which don't look.

Recent Ads Post

Minada Moshi Kilimanjaro
May 20, 2022
Minada Moshi Kilimanjaro
Wauzaji wa Shanga Moshi-Kilimanjaro
May 16, 2022
Wauzaji wa Shanga Moshi-Kilimanjaro
Ofisi za madalali wa Moshi Kilimanjaro
May 15, 2022
Ofisi za madalali wa Moshi Kilimanjaro
Nunua Uza

NunuaUza.com, Jengo La Posta Moshi, Ofisi ya Kwanza Kushoto, Kilimanjaro Tanzania.

tanzaniaonlinemarkets@gmail.com

0677775000

All copyrights reserved © 2022 - Design & Development by Tanzania Online Market

  • Follow Us :

(Stoo ya mapambo inajaribiwa.Hakuna oda itatekelezwa hadi July 10). Dismiss