Ofisi za madalali wa Moshi Kilimanjaro
Category : Uncategorized
Ofisi za Madalali wa moshi Kilimanjaro zipo jengo la Posta Moshi. 1. Kama unataka kuuza chochote kwa haraka njoo ofisini au tupigie 2. Kama unataka kununua chochote njoo ofisini au tupigie !!! 3. Kama unataka kukodisha chochote – nyumba, chumba, gari nk.
Wauzaji wa Pete za Ndoa Moshi Kilimanjaro
Category : Wauzaji
Tunauza Pete za ndoa za bei nafuu zenye ubora was kisasa na madini yasio Paula wala kuchuja. Guaranteed for life time hazitapungua ubora. Bei ni kuanzia elfu 10 hadi laki moja
Matangazo ya ajira
Category : Uncategorized
Nunuauza.com tunatafuta Watu wakufanya nao kazi za mtandaoni katika mikoa yote. Unafanya kazi pale ulipo. Malipo; inategemea na jitihada yako ya kazi. Elimu; ujue kutumia smartphone. Tuandikie meseji whatsapp tuu. Usipige Simu.
Tunatangaza Biashara Mtandaoni
Category : Matangazo / Advertisements
NunuaUza.com ni Taasisi iliyosajiliwa kwa shuguli za matangazo ya aina zote pamoja na shuguli zingine za kibiashara. NunuaUza inamiliki Mtandao kadhaa ya matangazo ya ndani ya Tanzania na imeingia makubaliano na Mitandao mikubwa ya Nje ya Nchi kwaajili ya kuta
Ushauri wa Biashara
Category : Uncategorized
Tunatoa Huduma za Ushauri kwenye biashara(Business Advisory) na uwekezaji kwenye sector mbali mbali. Tueleze unataka kufanya nini tutakupa Data juu ya biashara hiyo au uwekezaji huo. Tuna Uzoefu wa miaka mingi kwenye nyanja mbali mbali kila mmoja kwa taaluma n
Magari ya zamani
Category : Old Cars
Kama unataka kununua au kuuza magari ya zamani sana kwajili ya kumbu kumbu au maonyesho ya magari au kuyarudisha Ulaya basi wasiliana nasi. Tumewahi kusafirisha magari nje ya Nchi tunaweza kukupa muongozo. 0677775000
Unajimu wa Nyota
Category : Uncategorized
Unajimu (wakati mwingine pia: astrolojia kutoka Kiingereza: “astrology”) ni mafundisho yasiyo ya kisayansi juu ya uhusiano kati ya nyota na maisha hapa duniani. Wafuasi wa unajimu hufundisha ya kwamba nyota zinaathiri maisha ya watu na matukio duni
Punguza Unene–Vipimo vya BMI – Tiba na Ushauri
Category : Health & Fitness
Fahamu BMI yako. ( Kucheki endapo uzito wa mwili unaendana na urefu wako na umri wako). Tunashauri Tiba mbadala kwa kutuumia Lishe mbadala ya madawa kuepuka madhara ya Badae yanayotokana na dawa za kisasa Njoo Ofisi za NunuaUza.com Jengo la posta Moshi , mlang
Mawe ya Bahati ya mwezi uliozaliwa
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
Tunauza mawe ya bahati na matibabu kulingana na nyota yako na mwezi uliozaliwa. Kama una changamoto yoyote ya kimaisha au kimwili na afya tuambie inawezekana ikahusiana na unajimu wa madini. Wasiliana nasi 0677775000. Ofisi zetu zipo moshi mjini. Bei zetu ni r
Tiba kupitia mawe na Madini
Category : Health & Fitness
Tunauza mawe ya bahati na matibabu kulingana na nyota yako na mwezi uliozaliwa. Kama una changamoto yoyote ya kimaisha au kimwili na afya Jaribu kuva Jiwe linaloendana na mwezi ulio zaliwa. Madini yalitumiwa kama matibabu na Kinga kwa Miaka mingi. Kujua aina y
Wanunuzi wa Sarafu na noti za zamani
Category : Uncategorized
NunuaUza.com tuna nunua sarafu za mjerumani na noti za zamani enzi ya mkoloni. Mfano rupia, heller 5, heller 20 na rupia 15 ya Tabora ya mwaka 1916 yenye rangi ya shaba /dhahabu. Usipige Simu. Tuma picha whatsapp usubiri utajibiwa ndani ya SAA 72 yaani siku 3
Wauzaji wa Viwanja Moshi
Category : Real Estate/Viwannja Mashamba
Tunanunua na kuuza mashamba, Viwanja na Nyumba Moshi Kilimanjaro. Wasiliana nasi 0677775000 au fika ofisini kwetu Kwenye jengo la posta moshi utaona bango letu limeandikwa NUNUAUZA.COM