Wanunuzi wa Sarafu na noti za zamani
Category : Uncategorized
NunuaUza.com tuna nunua sarafu za mjerumani na noti za zamani enzi ya mkoloni. Mfano rupia, heller 5, heller 20 na rupia 15 ya Tabora ya mwaka 1916 yenye rangi ya shaba /dhahabu. Usipige Simu. Tuma picha whatsapp usubiri utajibiwa ndani ya SAA 72 yaani siku 3