Tunasajili wauzaji @Tsh.30,000 kwa mwaka.
image

Ad Details

  • Ad ID: 1290

  • Added: May 9, 2022

  • Location: Tanzania

  • State: Kilimanjaro Region

  • Views: 252

image

Description

Unajimu (wakati mwingine pia: astrolojia kutoka Kiingereza: “astrology”) ni mafundisho yasiyo ya kisayansi juu ya uhusiano kati ya nyota na maisha hapa duniani. Wafuasi wa unajimu hufundisha ya kwamba nyota zinaathiri maisha ya watu na matukio duniani kama amani, vita au maafa. Hapa huangalia hasa makundinyota yaliyopo kwenye mzingo wa zodiaki ambazo ziliitwa “Buruji za Falaki” katika utamaduni wa Waswahili. Siku hizi wanajimu huziita zaidi “alama za nyota”.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mwindaji Orion: watu waliwaza ya kwamba nyota kadhaa zinazoonekana kwa pamoja angani ni picha ya mungu fulani au nguvu muhimu katika ulimwengu, hata kama nyota hizi hali halisi hazina uhusiano kati yao.
Kuna aina nyingi za unajimu:

wengine wanataka kugundua mwendo wa dunia na utabiri wa mambo yajayo kutokana na nyota
wengine wanaamini ya kwamba tabia za mwanadamu zinatokana na hali ya nyota wakati wa kuzaliwa kwake
wengine wanaona nyota kama alama za miungu au nguvu za mbinguni.

Comments

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked. *

Success! Thanks for your comment. We appreciate your response.
You might have left one of the fields blank, or be posting too quickly

Related ads

wasiliana nasi uuze kupitia nunuauza.com
× Ask / Uliza