Mawe ya Bahati
Category : Tanzanite & Jewelry
Tunauza Madini ya bahati yanayoendana na mwezi uliozaliwa. Birthstones. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kujua jiwe lako unalostahili kuvaa.
Unajimu wa Nyota
Category : Services
Unajimu (wakati mwingine pia: astrolojia kutoka Kiingereza: “astrology”) ni mafundisho yasiyo ya kisayansi juu ya uhusiano kati ya nyota na maisha hapa duniani. Wafuasi wa unajimu hufundisha ya kwamba nyota zinaathiri maisha ya watu na matukio duni