For Sale
Ad Details
-
Ad ID: 3294
-
Added: June 5, 2025
-
Regular Price: sales
-
Location: Tanzania
-
State: Kilimanjaro Region
-
Views: 45
Description
tanzanite ni madini ya thamani yanayochimbwa mererani mkoani manyara, tanzanite hupatikana sehemu moja tu duniani ambayo ni nchi ya tanzania katika mkoa wa manyara. hii hutokea katika rangi tofauti kama bluu,kijani,njano,na zambarau lakini rangi ya asili ni bluu.hutumika kutengeneza vito vya thamani sana Kwa kuwa ni madini hadimu zaidi duniani
Bids
Bid Stats : 0 Bids posted on this ad
Let’s Create Your Bid
Only registered users can post offers *
Ad Price