Tunatangaza Biashara @Tsh.30,000 kwa mwaka.
Total ads: 576 ads posted
Category : Services
Tunatoa huduma za mnada. Kama una vitu vingi ambavyo unataka kuviuza kwa haraka na kwa mara moja na siku moja Basi tumia njia ya mnada Posta Moshi. Mnada unaweza kufanyikia mahali vitu vilipo au kama inafaa vitapelekwa eneo la wazi lililoopo mbele ya Ofisi za
Category : Wauzaji
Tunauza urembo wa shanga za kuvaa masikioni, shingoni, mkononi, kiunoni na mguuni. Duka lipo jengo la posta Moshi mkabala na ofisi ya NunuaUza.com na ni mahali penye heshima ya faragha unaweza kununua chochote na kujaribisha. Simu 0677775000
Ofisi za Madalali wa moshi Kilimanjaro zipo jengo la Posta Moshi. 1. Kama unataka kuuza chochote kwa haraka njoo ofisini au tupigie 2. Kama unataka kununua chochote njoo ofisini au tupigie !!! 3. Kama unataka kukodisha chochote – nyumba, chumba, gari nk.
Tunauza Pete za ndoa za bei nafuu zenye ubora was kisasa na madini yasio Paula wala kuchuja. Guaranteed for life time hazitapungua ubora. Bei ni kuanzia elfu 10 hadi laki moja
Category : Uncategorized
Nunuauza.com tunatafuta Watu wakufanya nao kazi za mtandaoni katika mikoa yote. Unafanya kazi pale ulipo. Malipo; inategemea na jitihada yako ya kazi. Elimu; ujue kutumia smartphone. Tuandikie meseji whatsapp tuu. Usipige Simu.
Category : Matangazo
NunuaUza.com ni Taasisi iliyosajiliwa kwa shuguli za matangazo ya aina zote pamoja na shuguli zingine za kibiashara. NunuaUza inamiliki Mtandao kadhaa ya matangazo ya ndani ya Tanzania na imeingia makubaliano na Mitandao mikubwa ya Nje ya Nchi kwaajili ya kuta
Tunatoa Huduma za Ushauri kwenye biashara(Business Advisory) na uwekezaji kwenye sector mbali mbali. Tueleze unataka kufanya nini tutakupa Data juu ya biashara hiyo au uwekezaji huo. Tuna Uzoefu wa miaka mingi kwenye nyanja mbali mbali kila mmoja kwa taaluma n
Category : Old Cars
Kama unataka kununua au kuuza magari ya zamani sana kwajili ya kumbu kumbu au maonyesho ya magari au kuyarudisha Ulaya basi wasiliana nasi. Tumewahi kusafirisha magari nje ya Nchi tunaweza kukupa muongozo. 0677775000
Unajimu (wakati mwingine pia: astrolojia kutoka Kiingereza: “astrology”) ni mafundisho yasiyo ya kisayansi juu ya uhusiano kati ya nyota na maisha hapa duniani. Wafuasi wa unajimu hufundisha ya kwamba nyota zinaathiri maisha ya watu na matukio duni