Wanunuzi
Category : Uncategorized
Nunuauza.com tunanunua vitu vya aina mbali mbali kwa bei ya chini ili tuweze kuuza baadae taratibu. Kama unauza shida ya ela ya haraka na unauza kitu chochote wasiliana nasi. Kama hatukiitaji tutakuunganisha na wanunuzi wengine kwa makubaliano utatulipa asilim
Wakodishaji
Category : Wakodishaji
Tunakodisha vitu na vifaa mbalimbali. Wasiliana nasi kwa kile uchoitaji kukodisha kupitia sisi
NunuaUza Real Estate
Category : Real Estate
Kama unataka kununua au kuuza Ardhi, Nyumba au viwanja, wasiliana nasi wakati wowote. Pai kama unataka ukupangisha nyumba ya kuishi au ya biashara. Piga au SMS 0677775000
Wanunuzi wa rupia
Category : Antiques/Mali Kale
Tunanunua rupia za mjerumani, heler 5 na heller 20 tu. Pia noti za enzi ya ukoloni tu. Kabla ya Uhuru.
wauzaji wa mapambo
Category : Tanzanite & Jewelry
Tunauza mapambo ya kuvaa Wasiliana nasi 0677775000
Wauzaji wa pete
Category : Tanzanite & Jewelry
Tanauza Pete za aina zote , pia ukitaka Pete yenye madini aina yoyote wasiliana nasi 0677775000
Bei ya matangazo
Category : Services
Kupata bei ya matangazo ya mtandaoni, radio na TV tafadhali wasiliana nasi 0677775000