Tunatangaza Biashara @Tsh.30,000 kwa mwaka.
Support: tanzaniaonlinemarket@gmail.com 0677775000
Follow us:
Total ads: 575 ads posted
Featured
Category : Tanzanite & Jewelry
Tunauza vidani vya aina zote. Mfano vyenye madini aina mbali mbali. Unaweza kuna ofisi zetu Jengo la posta moshi au unaweza kutupigia Simu , SMS au whatsapp 0677775000. Karibunia sana bei zetu in nafuu sana haziumizi.
Category : Fashion & Beauty
Tunauza mapambo yenye ubora was hali ya juu kama HERENI, VIDANI, BANGILI nk kutoka China. Wasiliana nasi 0677775000 au njoo ofisini kwetu jengo la posta Moshi. Mikoani tunatuma.
Category : Wauzaji
Tumain Decoration Tuko maeneo ya TRA karibu na Harambee Gereji. Tumain Decoration ni wauzaji wa mapambo ya nyumbani kama 1. Pazia 2. Maua ya aina Tofauti 3. Vesi za maua 4. Rugs 5. Saa 6. Picha za aina tofauti 7. Taulo 8. Shuka 9. Duvet na duvet cover 10. Deco
Category : Services
Tunatoa huduma za mnada. Kama una vitu vingi ambavyo unataka kuviuza kwa haraka na kwa mara moja na siku moja Basi tumia njia ya mnada Posta Moshi. Mnada unaweza kufanyikia mahali vitu vilipo au kama inafaa vitapelekwa eneo la wazi lililoopo mbele ya Ofisi za
Tunauza urembo wa shanga za kuvaa masikioni, shingoni, mkononi, kiunoni na mguuni. Duka lipo jengo la posta Moshi mkabala na ofisi ya NunuaUza.com na ni mahali penye heshima ya faragha unaweza kununua chochote na kujaribisha. Simu 0677775000
Ofisi za Madalali wa moshi Kilimanjaro zipo jengo la Posta Moshi. 1. Kama unataka kuuza chochote kwa haraka njoo ofisini au tupigie 2. Kama unataka kununua chochote njoo ofisini au tupigie !!! 3. Kama unataka kukodisha chochote – nyumba, chumba, gari nk.
Tunauza Pete za ndoa za bei nafuu zenye ubora was kisasa na madini yasio Paula wala kuchuja. Guaranteed for life time hazitapungua ubora. Bei ni kuanzia elfu 10 hadi laki moja
Category : Jobs
Nunuauza.com tunatafuta Watu wakufanya nao kazi za mtandaoni katika mikoa yote. Unafanya kazi pale ulipo. Malipo; inategemea na jitihada yako ya kazi. Elimu; ujue kutumia smartphone. Tuandikie meseji whatsapp tuu. Usipige Simu.
Category : Matangazo
NunuaUza.com ni Taasisi iliyosajiliwa kwa shuguli za matangazo ya aina zote pamoja na shuguli zingine za kibiashara. NunuaUza inamiliki Mtandao kadhaa ya matangazo ya ndani ya Tanzania na imeingia makubaliano na Mitandao mikubwa ya Nje ya Nchi kwaajili ya kuta
All copyrights reserved © 2022 - Design & Development by Tanzania Online Market