Tunatangaza Biashara @Tsh.30,000 kwa mwaka.
Support: tanzaniaonlinemarket@gmail.com 0677775000
Follow us:
We are sellers of all types of carvings at any size according to your need. Contact us at any time.
ebony giraffe carving
vinyago vya mamba vya mti wa mpingo
vinyago vya simba jike wa mti wa mpingo
vinyago vya tembo vya kuchonga vinapatikana ofisini kwetu moshi mjini
vinyago vya tembo vinapatikana vikubwa na vidogo
vinyago vya simba dume vya mti wa mpingo vinapatikana karibuni sana
kinyago cha mti chenye sura ya mtu
kinyago cha ndege aina ya kanga kimetengenezwa kwa mti ,nyuzi na chuma
hii ni glass imara imetengenezwa kwa mti wa mpingo,hutumika kuwekea vinywaji kama wine
Kiwikiu or Maui Parrotbill use their large parrot-like beaks to split branches and to extract insect larvae, their primary prey. Adult Kiwikiu are 5 to 6 inches
vinyago mapenzi vinaonyesha mwanamke na mwanaume wakiwa wamekaribiana
hivi ni vinyago vya mifupa ya wanyama vimechongwa na kufanya muonekano wa mamba
vinyago vya shanga na wire vya asili ya kimaasai
ramani ya bara la africa iliyotokana na mti wa mpingo uliochongwa na kuonyesha wanyama wakubwa watano ambao ni tembo,simba,kifaru,chui na kiboko
vinyago vya wanyama wakubwa aina ya viboko vya kuchonga vya mti wa mpingo vinapatikana kwa ajili ya mapambo ya nyumbani,hotelini,ofisini n.k
All copyrights reserved © 2022 - Design & Development by Tanzania Online Market