Tunatangaza Biashara @Tsh.30,000 kwa mwaka.
Support: tanzaniaonlinemarket@gmail.com 0677775000
Follow us:
Mapambo ya culture kama hereni, vidani, shanga za mkononi, shanga za mguuni, sganga za kiunoni n.k
Malachite encourages the wearer to take risks and teaches to take responsibility for one’s thoughts, actions, and feelings. It balances mood swings, heals cramps, alleviates menstrual disorders, and boosts the immune system
vinyago vya mti vyenye sura ya mtu
vijiko vidogo vya mti hutumika kama vijiko vya chai lakini pia kwa ajili ya watoto kujifunza kula
africa ankh rasta color copper pendants necklace for men
hereni za mti wa mpingo zenye umbo la round
hereni za shanga zenye rangi nyeupe na gold
hereni za shanga nyeusi na mbegu za matunda ya topetope
shanga za masikioni zenye rangi ya gold
hereni za shanga nyeupe kubwa za kuning’inia
hizi ni bracelets zimesukwa kwa shanga kubwa za gold na nyeupe
mikufu iliyotengenezwa kwa shanga kubwa za rangi ya dhahabu na nyeupe
picha inayoonyesha kilele cha mlima kilimanjaro na kibo na mazingira yanayozunguka eneo hilo
hand painted soapstone plate
shanga za miguuni za wanawake zipo dukani kwetu moshi mjini jirani na posta
shanga za miguuni karibuni zinapatikana
hizi ni picha zenye wanyama aina ya pundamilia
picha hizi zimechorwa wanyama kama twiga,zinafanya muonekano nzuri wa nyumba au ofisini
mkufu wa shingoni uliotengenezwa na maharage na kidani cha ganda la mbegu za miti
hivi huwekwa mezani kama pambo la nyumba
necklaces za shanga na kidani cha kiatu karibuni ofisini
hereni hizi zina rangi nne ambazo ni bluu,kijani,nyeusi na njano
hereni hizi zimetengenezwa kwa maganda ya mbegu za matunda
hizi zimesukwa kwa shanga na mbegu za maharage
carved soapstone jewerly trinket box with zebra african design on
hereni hizi zina rangi za silver,nyekundu na nyeusi,na zimesukwa kwa wire na shanga
hizi ni hereni zilizotengenezwa kwa shanga kubwa na mbegu za matunda aina ya topetope
ni hereni zilizotengenezwa kwa marawa ya migomba na wire
picha za ukutani zilizochorwa vizuri na kupakwa rangi za kupendeza
picha hii inaonyesha baadhi ya wanawake wa jamii ya kimaasai wakiwa katika makazi yao
picha inayomwonyesha mfugaji wa kimaasai akiwa na ng’ombe pamoja na mbwa
picha ya simba dume iliyochorwa na kupakwa rangi nzuri ili kuleta muonekano mzuri
bangili za mkononi zilizotengenezwa kwa mti wa mpingo ni imara sana
medali za ushindi mwaka 2018 ,Mt kilimanjaro marathon tanzania Africa June 24,2018
ni chana nzuri imara za mti wa mpingo kwa ajili ya kuchania nywele
hizi zimesukwa kwa shanga na kuwekwa kidani cha urembo wa konokono wa baharini
cheni zimetengenezwa kwa shanga na wire pamoja na kidani za gold
necklaces za shanga zilizotengenezwa kwa wire na shanga na pembe ya ng’ombe kama kidani cha kuning’inia
bracelets za round zenye rangi za tofauti ni nzuri na imara
hizi ni bangili zilizotengenezwa kwa madini ya shaba ambazo huvaliwa mkononi
Malachite is a beautiful decorative stone. Its rich, patterned coloration in shades of green is unique among gems. Malachite’s low hardness makes it easy to work, though it still takes a polish very well. These qualities, combined with ready availability
hizi ni necklaces za shingoni zimetengenezwa kwa shanga kubwa nyekundu (amber)na nyuzi nyeusi
pete zimesukwa kwa wire na shanga ni nzuri za zinavaliwa na watu wote
pochi za ngozi za wanyama kama ng’ombe na mbuzi
necklaces za herufi na majina za mifupa
kinyago chenye sura ya kiboko kilichochongwa kutoka kwenye jiwe
necklaces za shanga na mifupa zenye umbo la misalaba
necklaces za kusukwa kwa shanga kubwa na kuwekwa vidani vya majani makavu ya migomba
cheni za shingoni zimetengenezwa kwa shanga na vifuu vya nazi
cheni za shanga ndogo zimesukwa kwa nyuzi na kuwekwa urembo wa kidani cha mfupa
pochi nzuri za ngozi ya ng’ombe zipo imara sana na zinadumu Kwa muda mrefu
mikanda ya ngozi ya kufunga mbwa shingoni
hivi ni vijiti vya miti vilivyotengenezwa kwa ajili ya kufungulia barua au bahasha iliyofungwa
hivi vimesukwa kwa shanga ndogo na wire, hutumika kuhifadhia vitu vidogo visivunjike au kupata kutu.hitu hivyo ni kama hereni,bracelets, cheni,pete,n.k
vikapu hivi vimesukwa na nyuzi za katani na kupakwa rangi nzuri za tofauti, na kuwekwa urembo wa shanga
maganda ya konokono yanatumika kama mapambo ya mezani,urembo wa ofisini
bangili nyeusi za mti wa mpingo ni imara sana na zinadumu kwa muda mrefu
shanga za kiuno zinazosukwa kwa uzi na shanga ndogo ambazo huvaliwa Na wanawake
tai za shingoni zenye rangi ya bendera ya tanzania zilizosukwa kwa shanga ndogo za kijani,njano, nyeusi na bluu
fridge magnets za material ya mbao zenye shape za oval na wanyama kama tembo,twiga, fisi,na pia zimechorwa picha ya mlima kilimanjaro na kibo
holder za funguo zenye vinyago vya wanyama kama simba,chui,tembo na wengine vyenye rangi nyeusi na brown
keys holder zilizotengenezwa kwa ngozi design ya ramani ya bara la africa na zinavutia kwa ajili yakuweka funguo zako
zimetengenezwa kwa kipisi cha ngozi iliyokatwa na kufanya umbo la ramani ya tanzania, zinadumu kwa muda marefu karibuni
keys holder kwa ajili yakuweka funguo,zimetengenezwa kwa ngozi na wire ili kuhifadhi funguo bila wasiwasi
vinyago vya asili ya makabila kama maasai vipo karibuni
kinyago cha mti wa mpingo kinachoonesha asili ya wanawake wa kabila la maasai
hii ni sehemu alipozaliwa yesu kristo katika mji wa bethlehemu ndani ya hori la ng’ombe
vikombe vya kuchonga vinapatikana ,ni imara pia vimechorwa maua mazuri yà waridi
vinyago vya faru vikubwa na vidogo vya miti ya mpingo ni imara sana karibuni
vinyago vya kobe wakubwa na wadogo wote wanapatikana kwetu
vinyago vinavyofanana na nyumba za asili za wachaga vipo ofisini kwetu
vinyago vinavyofanana na chui Na vyenye madoa doa pia vinapatikana
vinyago vya konokono wa majini na nchi kavu pia karibuni vinapatikana
vinyago vya mamba weupe na weusi pia vipo
vinyago vya nyati pia vinapatikana ,tupo moshi mjini karibu na ofisi za posta
vinyago vya simba dume na jike pia vipo ofisini karibu ujipatie bei nafuu
vinyago vya tembo vikubwa na vidogo vinapatikana karibuni sana