Unajimu wa Nyota
Category : Uncategorized
Unajimu (wakati mwingine pia: astrolojia kutoka Kiingereza: “astrology”) ni mafundisho yasiyo ya kisayansi juu ya uhusiano kati ya nyota na maisha hapa duniani. Wafuasi wa unajimu hufundisha ya kwamba nyota zinaathiri maisha ya watu na matukio duni