Tunatangaza Biashara @Tsh.30,000 kwa mwaka.
Support: tanzaniaonlinemarket@gmail.com 0677775000
Follow us:
Total ads: 576 ads posted
Category : Old Coins & Notes & Medals
benki kuu ya tanzania shilingi elfu moja yenye picha ya rais wa kwanza wa tanzania,tembo na mtoto Na kuvuli cha twiga
shilingi mia tano yenye picha ya rais wa kwanza wa zanzibar sheikh abeid amani karume
shilingi mia tano yenye picha ya nyati na benki kuu ya tanzania pamoja na nyoka
shilingi mia tano fedha halali kwa malipo ya shilingi mia tano,benki kuu ya tanzania
fedha halali kwa malipo ya shilingi mia tano, benki kuu ya tanzania shilingi mia tano
fedha halali kwa malipo ya shilingi mia mbili 200,benki kuu ya tanzania
fedha halali kwa malipo ya shilingi mia mbili,benki kuu ya tanzania. shilingi mia mbili yenye picha ya rais wa pili mheshimiwa Ali hassan mwinyi
bank of tanzania legal tender for one hundreds shillings, shilingi mia moja yenye picha ya masai na ng’ombe tisa na yenye rangi nyekundu
bank of tanzania, shilingi mia moja yenye picha ya simba wawili na rais wa kwanza wa tanzania, mwalimu julius k.nyerere