Total ads: 576 ads posted
Category : Culture Jewelry
mkufu wa shingoni uliotengenezwa na maharage na kidani cha ganda la mbegu za miti
hivi huwekwa mezani kama pambo la nyumba
necklaces za shanga na kidani cha kiatu karibuni ofisini
Category : Uncategorized
vinyago vya tembo vya kuchonga vinapatikana ofisini kwetu moshi mjini
hereni hizi zina rangi nne ambazo ni bluu,kijani,nyeusi na njano
hereni hizi zimetengenezwa kwa maganda ya mbegu za matunda
hizi zimesukwa kwa shanga na mbegu za maharage
vinyago vya tembo vinapatikana vikubwa na vidogo
vinyago vya simba dume vya mti wa mpingo vinapatikana karibuni sana