Hereni
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
Tunauza hereni zenye madini aina zote. Pia tunazo hereni zenye Birthstones kuendana na mwezi uliozaliwa. Unaweza kuna ofisini kwetu Jengo la posta moshi au ukatupiagia simu, SMS , whatsapp 0677775000. Mikoani tunatuma.