tiger eye bracelet
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
tiger eye ni madini yanayofanana na macho ya mnyama anayeitwa tiger.madini haya yanatengeneza mapambo tofauti kama hereni,cheni,bangili lakini pia unaweza kuweka ndani kama mapambo
Tiger eye bracelet
Category : Culture Jewelry
tiger eye (jicho la tiger)ni aina ya jiwe la thamani au madini ambayo yana mwonekano wa kipekee wa mng’ ao kama wa jicho la paka/tiger,tembelea ofisi zetu jengo la posta moshi mjini ujipatie bracelet za tiger eye