hereni za tanzanite moshi
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
hereni hizi zimetengenezwa kwa silver na madini ya tanzanite
kidani cha tanzanite caption
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
Tanzanite ni madini yanayopatika tanzania pekee katika mkoa wa manyara,madini haya hutumika kutengeneza mapambo ya kuvaa kama vile hereni,pete,vidani,na bangili.tanzanite inakuwa na rangi tofauti kama bluu,kijani, njano na pink.