hereni za malachite
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
malachite ni madini ya thamani yanayopatika nchi ya congo,yana rangi ya kijani kibichi.pia hutumika kutengeneza mapambo ya kuvaa kama vile pete,hereni, cheni na bangili.huvaliwa pia kama mawe ya bahati,kinga dhidi ya ajali,humpa mtu ujasiri na huondoa hofu na