hereni za madini ya ruby
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
ruby ni madini ya thamani yenye rangi nyekundu ambayo hupatikana tanzania na nchi nyingine za africa, ruby ni birthstone ya mwezi wa saba.ni jiwe la linalopendwa na watu wengi kwa kuvaa kama pambo.