Ad Details
-
Ad ID: 1325
-
Added: May 20, 2022
-
Location: Tanzania
-
State: Kilimanjaro Region
-
Views: 637
Description
Tunatoa huduma za mnada. Kama una vitu vingi ambavyo unataka kuviuza kwa haraka na kwa mara moja na siku moja Basi tumia njia ya mnada Posta Moshi.
Mnada unaweza kufanyikia mahali vitu vilipo au kama inafaa vitapelekwa eneo la wazi lililoopo mbele ya Ofisi za NunuaUza.com posta Moshi.
Taarifa ya mapema ni muhimu ili tuweze kukagua, tukubaliane na tuanze matangazo ya Mtandaoni, Redioni na gari yenye Spika Mjini.
Piga simu au meseji 0677775000