kibanda alipolazwa yesu kristo
Category : Culture Jewelry
hii ni sehemu alipozaliwa yesu kristo katika mji wa bethlehemu ndani ya hori la ng’ombe
vikombe vya miti
Category : Culture Jewelry
vikombe vya kuchonga vinapatikana ,ni imara pia vimechorwa maua mazuri yà waridi
vinyago vya faru
Category : Culture Jewelry
vinyago vya faru vikubwa na vidogo vya miti ya mpingo ni imara sana karibuni
kinyago cha kobe
Category : Culture Jewelry
vinyago vya kobe wakubwa na wadogo wote wanapatikana kwetu
nyumba za asili ya wachaga
Category : Culture Jewelry
vinyago vinavyofanana na nyumba za asili za wachaga vipo ofisini kwetu
kinyago chui
Category : Culture Jewelry
vinyago vinavyofanana na chui Na vyenye madoa doa pia vinapatikana
vinyago vya konokono
Category : Culture Jewelry
vinyago vya konokono wa majini na nchi kavu pia karibuni vinapatikana
vinyago vya mamba
Category : Culture Jewelry
vinyago vya mamba weupe na weusi pia vipo
kinyago cha nyati
Category : Culture Jewelry
vinyago vya nyati pia vinapatikana ,tupo moshi mjini karibu na ofisi za posta
kinyago cha simba
Category : Culture Jewelry
vinyago vya simba dume na jike pia vipo ofisini karibu ujipatie bei nafuu
kinyago cha tembo
Category : Culture Jewelry
vinyago vya tembo vikubwa na vidogo vinapatikana karibuni sana
zebra earrings
Category : Wakopeshaji
hereni za rangi ya pundamilia zimesukwa kwa wire na nyuzi nakufanya kuwa rangi ya milia