Tunatangaza Biashara @Tsh.30,000 kwa mwaka.
Support: tanzaniaonlinemarket@gmail.com 0677775000
Follow us:
Member Since May 1, 2022
Total ads: 314 Ads Posted
Category : Tanzanite & Jewelry
amethyst ni aina ya madini yanayopatikana katika bara la africa katika nchi za zambia,namibia,siberia, na katika nchi ya tanzania zinapatikana mkoa wa tanga na yana rangi ya zambarau.
Category : Culture Jewelry
tai za shingoni zenye rangi ya bendera ya tanzania zilizosukwa kwa shanga ndogo za kijani,njano, nyeusi na bluu
fridge magnets za material ya mbao zenye shape za oval na wanyama kama tembo,twiga, fisi,na pia zimechorwa picha ya mlima kilimanjaro na kibo
holder za funguo zenye vinyago vya wanyama kama simba,chui,tembo na wengine vyenye rangi nyeusi na brown
keys holder zilizotengenezwa kwa ngozi design ya ramani ya bara la africa na zinavutia kwa ajili yakuweka funguo zako
zimetengenezwa kwa kipisi cha ngozi iliyokatwa na kufanya umbo la ramani ya tanzania, zinadumu kwa muda marefu karibuni
keys holder kwa ajili yakuweka funguo,zimetengenezwa kwa ngozi na wire ili kuhifadhi funguo bila wasiwasi
Category : Carvings - Vinyago
vinyago vya wanyama wakubwa aina ya viboko vya kuchonga vya mti wa mpingo vinapatikana kwa ajili ya mapambo ya nyumbani,hotelini,ofisini n.k
vinyago vya asili ya makabila kama maasai vipo karibuni
kinyago cha mti wa mpingo kinachoonesha asili ya wanawake wa kabila la maasai
hii ni sehemu alipozaliwa yesu kristo katika mji wa bethlehemu ndani ya hori la ng’ombe
vikombe vya kuchonga vinapatikana ,ni imara pia vimechorwa maua mazuri yà waridi
All copyrights reserved © 2022 - Design & Development by Tanzania Online Market