chana za mti wa mpingo
Category : Culture Jewelry
ni chana nzuri imara za mti wa mpingo kwa ajili ya kuchania nywele
necklaces za shanga
Category : Culture Jewelry
hizi zimesukwa kwa shanga na kuwekwa kidani cha urembo wa konokono wa baharini
maasai bead wire
Category : Culture Jewelry
cheni zimetengenezwa kwa shanga na wire pamoja na kidani za gold
mkufu wa shanga na kidani cha pembe ya ng'ombe
Category : Culture Jewelry
necklaces za shanga zilizotengenezwa kwa wire na shanga na pembe ya ng’ombe kama kidani cha kuning’inia
bracelets from tanzania
Category : Culture Jewelry
bracelets za round zenye rangi za tofauti ni nzuri na imara
bangili za shaba tanzania
Category : Culture Jewelry
hizi ni bangili zilizotengenezwa kwa madini ya shaba ambazo huvaliwa mkononi
malachite rings tanzania
Category : Culture Jewelry
Malachite is a beautiful decorative stone. Its rich, patterned coloration in shades of green is unique among gems. Malachite’s low hardness makes it easy to work, though it still takes a polish very well. These qualities, combined with ready availability
necklaces za amber
Category : Culture Jewelry
hizi ni necklaces za shingoni zimetengenezwa kwa shanga kubwa nyekundu (amber)na nyuzi nyeusi
pete za shanga tanzania
Category : Culture Jewelry
pete zimesukwa kwa wire na shanga ni nzuri za zinavaliwa na watu wote
pochi za ngozi tanzania
Category : Culture Jewelry
pochi za ngozi za wanyama kama ng’ombe na mbuzi
necklaces za shanga za herufi w na h
Category : Culture Jewelry
necklaces za herufi na majina za mifupa
crocodile carving from tanzania
Category : Uncategorized
hivi ni vinyago vya mifupa ya wanyama vimechongwa na kufanya muonekano wa mamba