Tunatangaza Biashara @Tsh.30,000 kwa mwaka.
Support: tanzaniaonlinemarket@gmail.com 0677775000
Follow us:
Total ads: 576 ads posted
Category : Wakopeshaji
necklaces za kimaasai za culture na zenye rangi tofauti kama nyeupe,gold,nyeusi, na silver.
necklaces zimetengenezwa kwa mianzi na shanga na kidani cha silver
cheni zimetengenezwa kwa wire na shanga za rangi za bluu na urembo wa silver
shanga za shingoni zimetengenezwa kwa pembe za wanyama,mbao na rangi za tofauti
necklaces zenye rangi za bendera ya tanzania, na zilizotengenezwa vizuri
necklaces za shanga nyekundu ndogo na kubwa nzuri zakupendeza zipo dukani kwetu karibu sana
hizi zimesukwa kwa nyuzi na kufungwa coins za zamani nakuwa kama kidani cha shingoni
cheni za shingoni zenye vidani vya urembo wa baharini na shanga nzuri
necklaces za shanga kubwa na ndogo za kisasa zinapatikana karibu ujipatie