Tunatangaza Biashara @Tsh.30,000 kwa mwaka.
Support: tanzaniaonlinemarket@gmail.com 0677775000
Follow us:
Total ads: 576 ads posted
Category : Culture Jewelry
keys holder zilizotengenezwa kwa ngozi design ya ramani ya bara la africa na zinavutia kwa ajili yakuweka funguo zako
zimetengenezwa kwa kipisi cha ngozi iliyokatwa na kufanya umbo la ramani ya tanzania, zinadumu kwa muda marefu karibuni
keys holder kwa ajili yakuweka funguo,zimetengenezwa kwa ngozi na wire ili kuhifadhi funguo bila wasiwasi
Category : Uncategorized
vinyago vya wanyama wakubwa aina ya viboko vya kuchonga vya mti wa mpingo vinapatikana kwa ajili ya mapambo ya nyumbani,hotelini,ofisini n.k
vinyago vya asili ya makabila kama maasai vipo karibuni
kinyago cha mti wa mpingo kinachoonesha asili ya wanawake wa kabila la maasai
hii ni sehemu alipozaliwa yesu kristo katika mji wa bethlehemu ndani ya hori la ng’ombe
vikombe vya kuchonga vinapatikana ,ni imara pia vimechorwa maua mazuri yà waridi
vinyago vya faru vikubwa na vidogo vya miti ya mpingo ni imara sana karibuni