Tunatangaza Biashara @Tsh.30,000 kwa mwaka.
Support: tanzaniaonlinemarket@gmail.com 0677775000
Follow us:
Total ads: 576 ads posted
Category : Culture Jewelry
pochi nzuri za ngozi ya ng’ombe zipo imara sana na zinadumu Kwa muda mrefu
mikanda ya ngozi ya kufunga mbwa shingoni
Category : Uncategorized
ramani ya bara la africa iliyotokana na mti wa mpingo uliochongwa na kuonyesha wanyama wakubwa watano ambao ni tembo,simba,kifaru,chui na kiboko
hivi ni vijiti vya miti vilivyotengenezwa kwa ajili ya kufungulia barua au bahasha iliyofungwa
hivi vimesukwa kwa shanga ndogo na wire, hutumika kuhifadhia vitu vidogo visivunjike au kupata kutu.hitu hivyo ni kama hereni,bracelets, cheni,pete,n.k
Malachite is a beautiful decorative stone. Its rich, patterned coloration in shades of green is unique among gems. Malachite’s low hardness makes it easy to work, though it still takes a polish very well. These qualities, combined with ready availability
vikapu hivi vimesukwa na nyuzi za katani na kupakwa rangi nzuri za tofauti, na kuwekwa urembo wa shanga
maganda ya konokono yanatumika kama mapambo ya mezani,urembo wa ofisini
bangili nyeusi za mti wa mpingo ni imara sana na zinadumu kwa muda mrefu