Tunatangaza Biashara @Tsh.30,000 kwa mwaka.
Support: tanzaniaonlinemarket@gmail.com 0677775000
Follow us:
Total ads: 576 ads posted
Category : Culture Jewelry
hizi ni hereni zilizotengenezwa kwa shanga kubwa na mbegu za matunda aina ya topetope
ni hereni zilizotengenezwa kwa marawa ya migomba na wire
picha za ukutani zilizochorwa vizuri na kupakwa rangi za kupendeza
picha hii inaonyesha baadhi ya wanawake wa jamii ya kimaasai wakiwa katika makazi yao
picha inayomwonyesha mfugaji wa kimaasai akiwa na ng’ombe pamoja na mbwa
Category : Uncategorized
vinyago mapenzi vinaonyesha mwanamke na mwanaume wakiwa wamekaribiana
picha ya simba dume iliyochorwa na kupakwa rangi nzuri ili kuleta muonekano mzuri
bangili za mkononi zilizotengenezwa kwa mti wa mpingo ni imara sana
medali za ushindi mwaka 2018 ,Mt kilimanjaro marathon tanzania Africa June 24,2018