Ad Details
-
Ad ID: 1236
-
Added: May 3, 2022
-
Location: Tanzania
-
State: Kilimanjaro Region
-
Views: 1006
Description
Nunua Tanzanite, Vidani, Pete, Hereni, Bangili za Tanzanite. Unaweza kununua jiwe ukaenda kulifitisha mwenyewe pia.
Tunayo Madini aina zote.
Mawe yanayoendana na Mwezi wako uliozaliwa Tunayo.
Unaweza kuagiza kupitia Mtandao wetu au Ukafika ofisini kwetu.
TanzaniteGallery.com ni Mtandao wakuuza Madini unaojumuisha ushirikiano wa bidhaa za wachimbaji na wanunuzi na wauzaji wa Madini ya Vito mkoa wa Kilimanjaro ambao wana Leseni. Tanzanitegallery.com ni kiunganishi kati ya wauzaji NA wanunuzi wa Vito. Imebuniwa na kusimamiwa na NUNUAUZA.COM Advertising Media.
Shop with confidence!!! Lipa kwa M-pesa, Tigo Pesa, Visa, Bank transfer, Paypal n.k
Tembelea www.TanzaniteGallery.com