maasai bead wire
Category : Culture Jewelry
hivi vimesukwa kwa shanga ndogo na wire, hutumika kuhifadhia vitu vidogo visivunjike au kupata kutu.hitu hivyo ni kama hereni,bracelets, cheni,pete,n.k
vikapu vya kusukwa na katani
Category : Culture Jewelry
vikapu hivi vimesukwa na nyuzi za katani na kupakwa rangi nzuri za tofauti, na kuwekwa urembo wa shanga