tanzanite rings moshi tanzania
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
Pete hizi zimetengenezwa kwa madini ya silver na tanzanite.tanzanite Inaweza kuwa na rangi ya bluu,kijani,pink au njano na hivyo kunifanya pete kuwa na muonekano mzuri na wa kuvutia.
Pete za tanzanite tanzania
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
Pete hizi zimetengenezwa kwa silver na kuwekwa jiwe halisi la tanzanite.pete za tanzanite huvaliwa kama mapambo lakini pia unaweza kuvaa kama pete ya uchumba.