Minada Moshi Kilimanjaro
Category : Uncategorized
Tunatoa huduma za mnada. Kama una vitu vingi ambavyo unataka kuviuza kwa haraka na kwa mara moja na siku moja Basi tumia njia ya mnada Posta Moshi. Mnada unaweza kufanyikia mahali vitu vilipo au kama inafaa vitapelekwa eneo la wazi lililoopo mbele ya Ofisi za
Ofisi za madalali wa Moshi Kilimanjaro
Category : Uncategorized
Ofisi za Madalali wa moshi Kilimanjaro zipo jengo la Posta Moshi. 1. Kama unataka kuuza chochote kwa haraka njoo ofisini au tupigie 2. Kama unataka kununua chochote njoo ofisini au tupigie !!! 3. Kama unataka kukodisha chochote – nyumba, chumba, gari nk.