malachite plate
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
malachite ni madini yenye rangi ya kijani ambayo hupatikana nchi ya kongo.madini haya hutumika kutengeneza vito vya thamani kwa ajili ya kuvaa,kupamba n.k.pia humkinga mtu dhidi ya nguvu za giza,ajali,kuondoa woga na kumpa mtu ujasiri,pia ni mawe ya bahati n.k