View Ad
For Sale
kidani cha tanzanite na silver
Tanzanite ni madini yanayopatika tanzania pekee katika mkoa wa manyara,madini haya hutumika kutengeneza mapambo ya kuvaa kama vile hereni,pete,vidani,na bangili.tanzanite inakuwa na rangi tofauti kama bluu,kijani, njano na pink.
View Ad
For Sale
vidani vya madini ya tanzanite
Tanzanite ni madini yanayopatika tanzania pekee katika mkoa wa manyara,madini haya hutumika kutengeneza mapambo ya kuvaa kama vile hereni,pete,vidani,na bangili.tanzanite inakuwa na rangi tofauti kama bluu,kijani, njano na pink.
View Ad
For Sale
kidani cha tanzanite
Tanzanite ni madini yanayopatika tanzania pekee katika mkoa wa manyara,madini haya hutumika kutengeneza mapambo ya kuvaa kama vile hereni,pete,vidani,na bangili
View Ad
For Sale
kidani cha tanzanite
Tanzanite ni madini yanayopatika tanzania pekee katika mkoa wa manyara,madini haya hutumika kutengeneza mapambo ya kuvaa kama vile hereni,pete,vidani,na bangili
View Ad
For Sale
hereni za madini ya ruby
ruby ni madini ya thamani yenye rangi nyekundu ambayo hupatikana tanzania na nchi nyingine za africa, ruby ni birthstone ya mwezi wa saba.ni jiwe la linalopendwa na watu wengi kwa kuvaa kama pambo.
View Ad
For Sale
hereni za malachite
malachite ni madini ya thamani yanayopatika nchi ya congo,yana rangi ya kijani kibichi.pia hutumika kutengeneza mapambo ya kuvaa kama vile pete,hereni, cheni na bangili.huvaliwa pia kama mawe ya bahati,kinga dhidi ya ajali,humpa mtu ujasiri na huondoa hofu na
View Ad
For Sale
hereni za tiger eye
tiger eye ni madini yenye rangi ya kahawia,dhahabu na kijivu.hutumika kutengeneza mapambo kama hereni,cheni,bangili n.k,madini haya hupatikana katika nchi ya afrika kusini,australia na India.
View Ad
For Sale
raw tanzanite earrings
tanzanite ni madini ya thamani yanayochimbwa mererani mkoani manyara, tanzanite hupatikana sehemu moja tu duniani ambayo ni nchi ya tanzania katika mkoa wa manyara. hii hutokea katika rangi tofauti kama bluu,kijani,njano,na zambarau lakini rangi ya asili ni bl
View Ad
For Sale
malachite plate
malachite ni madini yenye rangi ya kijani ambayo hupatikana nchi ya kongo.madini haya hutumika kutengeneza vito vya thamani kwa ajili ya kuvaa,kupamba n.k.pia humkinga mtu dhidi ya nguvu za giza,ajali,kuondoa woga na kumpa mtu ujasiri,pia ni mawe ya bahati n.k
View Ad
For Sale
pyrite bracelet
pyrite bracelet ni mawe yenye rangi ya dhahabu( foolish gold) na hutumika kama mapambo Kwa kuvaa na kupamba nyumba kwa maana ya kumwaga nje ya nyumba kama mchanga.
View Ad
For Sale
lava stone na sandstone bracelet
lava stone ni mawe yenye rangi nyeusi yatokanayo na lava ya volcano.sandstone ni madini yenye rangi ya dhahabu yenye kung’aa na hutumika kutengeneza mapambo kama hereni,bracelets, necklaces n.k
View Ad
For Sale
ruby zoisite bracelet
Ruby zoisite inajulikana kama thulite au “ruby in zoisite,” ni jiwe la thamani lililo na mchanganyiko wa madini mawili, ruby na zoisite. Faida za Kihisia na Kiroho: – **Uponyaji Kihisia:** Inadhaniwa kuwa na uwezo wa kusaidia katika kuondoa h