bracelets zenye majina mbalimbali
Category : Wakopeshaji
bracelets tofauti tofauti zenye majina ya vitu,watu na miji zinapatikana ofisini kwetu moshi mjini jengo la posta
wauzaji wa bracelets za shanga kubwa
Category : Wakopeshaji
bracelets zenye shanga kubwa na zenye rangi nzuri zinapatikana,tembelea ofisi zetu jirani na ofisi za posta moshi mjini
wauzaji wa bracelets za mviringo
Category : Wakopeshaji
bracelets za shanga zenye umbo la mviringo,ni nzuri sana karibu ujipatie Kwa bei nafuu kabisa
bracelets za coins
Category : Wakopeshaji
bracelets nzuri za coins zinapatikana ofisini kwetu moshi mjini jirani na ofisi za posta au tupigie simu namba 0677775000
shilingi elfu kumi 10000 bank of tanzania
Category : Old Coins & Notes & Medals
shilingi elfu kumi ya bluu yenye picha ya twiga, simba,na kuvuli cha twiga pia jengo la benki kuu
shilingi elfu kumi 10000 benki kuu ya tanzania
Category : Old Coins & Notes & Medals
shilingi elfu kumi ya bluu yenye picha ya rais wa pili wa tanzania yenye simba na jengo la benki
bank of tanzania five thousand shillings 5000
Category : Old Coins & Notes & Medals
shilingi elfu tano tano yenye picha ya twiga watano,mlima kilimanjaro,faru na rais wa pili wa tanzania mh.Ali hassan mwinyi..
shilingi elfu moja 1000 bank of tanzania
Category : Old Coins & Notes & Medals
shilingi elfu moja noti kubwa yenye picha ya rais mwinyi na tembo wawili,benki kuu ya tanzania fedha halali kwa malipo ya shilingi elfu moja
shilingi elfu moja 1000 benki kuu ya tanzania
Category : Old Coins & Notes & Medals
shilingi elfu moja 1000 yenye picha ya rais wa pili wa tanzania mh.Ali hassan mwinyi pamoja na tembo wawili
shilingi elfu moja 1000 benki kuu ya tanzania
Category : Old Coins & Notes & Medals
benki kuu ya tanzania shilingi elfu moja yenye picha ya rais wa kwanza wa tanzania,tembo na mtoto Na kuvuli cha twiga
benki kuu ya tanzania,shilingi mia tano 500
Category : Old Coins & Notes & Medals
shilingi mia tano yenye picha ya rais wa kwanza wa zanzibar sheikh abeid amani karume
benki kuu ya tanzania, shilingi mia tano 500
Category : Old Coins & Notes & Medals
shilingi mia tano yenye picha ya nyati na benki kuu ya tanzania pamoja na nyoka