Tunatangaza Biashara @Tsh.30,000 kwa mwaka.
Support: tanzaniaonlinemarket@gmail.com 0677775000
Follow us:
Member Since May 1, 2022
Total ads: 314 Ads Posted
Category : Fashion & Beauty
shanga za shingoni za rangi tofauti kama bluu,nyekundu,kijani,purple zinapatikana ofisini karibuni sana
necklaces za shingoni zimetengenezwa kwa majani ya mgomba,uzi,shanga kubwa za rangi tofauti
zimetengenezwa kwa miti ya mianzi,mbao,pamoja na shanga nyeusi za kuvutia
necklaces za rangi za gold na nyeupe,pia ni nzuri mpya kabisa
necklaces za kimaasai za culture na zenye rangi tofauti kama nyeupe,gold,nyeusi, na silver.
necklaces zimetengenezwa kwa mianzi na shanga na kidani cha silver
cheni zimetengenezwa kwa wire na shanga za rangi za bluu na urembo wa silver
shanga za shingoni zimetengenezwa kwa pembe za wanyama,mbao na rangi za tofauti
necklaces zenye rangi za bendera ya tanzania, na zilizotengenezwa vizuri
necklaces za shanga nyekundu ndogo na kubwa nzuri zakupendeza zipo dukani kwetu karibu sana
hizi zimesukwa kwa nyuzi na kufungwa coins za zamani nakuwa kama kidani cha shingoni
cheni za shingoni zenye vidani vya urembo wa baharini na shanga nzuri
All copyrights reserved © 2022 - Design & Development by Tanzania Online Market