necklaces za sarafu za zamani
Category : Wakopeshaji
hizi zimesukwa kwa nyuzi na kufungwa coins za zamani nakuwa kama kidani cha shingoni
necklace za urembo wa baharini
Category : Wakopeshaji
cheni za shingoni zenye vidani vya urembo wa baharini na shanga nzuri
shanga za shingoni
Category : Wakopeshaji
necklaces za shanga kubwa na ndogo za kisasa zinapatikana karibu ujipatie
necklaces zenye misalaba na vidani vya umbo la moyo
Category : Wakopeshaji
ni cheni nzuri zina misalaba na pia vidani vya maumbo tofauti kama moyo,duara,na rangi za tofauti
necklaces nyeusi za shanga
Category : Wakopeshaji
zimetengenezwa kwa shanga nyeusi nakuwekwa kidani chenye sura ya mtu,mnyama au ndege
necklaces za urembo wa samaki
Category : Wakopeshaji
shanga zenye urembo wa wanyama kama tembo, samaki, punda milia,nyati n.k
necklaces za shanga
Category : Wakopeshaji
necklaces za shanga zenye rangi nzuri za bendera za nchi mbalimbali
bracelets pana za shanga
Category : Wakopeshaji
bracelets za shanga zenye upana na zina rangi za bendera za nchi mbalimbali
bracelets za shanga kubwa na ndogo
Category : Wakopeshaji
zimetengenezwa kwa shanga kubwa na ndogo na zenye rangi tofauti za kuvutia,karibu ujipatie bracelets yako
bracelets za shanga za mikono
Category : Wakopeshaji
shanga za mikono za rangi ya gold zakuvutia na pia zipo za kufunga na kufungua,zenye kuvutika
bracelets zenye umbo la moyo
Category : Wakopeshaji
ni bracelets za kamba na zina urembo wenye umbo la moyo na maumbo mengine ya wanyama kama tembo
bracelets za shanga za mikononi
Category : Wakopeshaji
bracelets za shanga zakupunguza na kuongea size zote,ni nzuri sana ziko za rangi tofauti