soap stone hippo
Category : Culture Jewelry
kinyago chenye sura ya kiboko kilichochongwa kutoka kwenye jiwe
vinyago vya wanawake wa maasai
Category : Uncategorized
vinyago vya shanga na wire vya asili ya kimaasai
necklaces za misalaba ya mifupa
Category : Culture Jewelry
necklaces za shanga na mifupa zenye umbo la misalaba
necklaces za majani ya migomba
Category : Culture Jewelry
necklaces za kusukwa kwa shanga kubwa na kuwekwa vidani vya majani makavu ya migomba
necklace za shanga na vifuu vya nazi
Category : Culture Jewelry
cheni za shingoni zimetengenezwa kwa shanga na vifuu vya nazi
necklaces za shanga na mifupa ya wanyama
Category : Culture Jewelry
cheni za shanga ndogo zimesukwa kwa nyuzi na kuwekwa urembo wa kidani cha mfupa
pochi za ngozi
Category : Culture Jewelry
pochi nzuri za ngozi ya ng’ombe zipo imara sana na zinadumu Kwa muda mrefu
mikanda ya mbwa
Category : Culture Jewelry
mikanda ya ngozi ya kufunga mbwa shingoni
ebony afrika carving
Category : Uncategorized
ramani ya bara la africa iliyotokana na mti wa mpingo uliochongwa na kuonyesha wanyama wakubwa watano ambao ni tembo,simba,kifaru,chui na kiboko
open letter from tanzania
Category : Culture Jewelry
hivi ni vijiti vya miti vilivyotengenezwa kwa ajili ya kufungulia barua au bahasha iliyofungwa
maasai bead wire
Category : Culture Jewelry
hivi vimesukwa kwa shanga ndogo na wire, hutumika kuhifadhia vitu vidogo visivunjike au kupata kutu.hitu hivyo ni kama hereni,bracelets, cheni,pete,n.k
malachite eggs
Category : Culture Jewelry
Malachite is a beautiful decorative stone. Its rich, patterned coloration in shades of green is unique among gems. Malachite’s low hardness makes it easy to work, though it still takes a polish very well. These qualities, combined with ready availability