beans necklaces tanzania
Category : Culture Jewelry
mkufu wa shingoni uliotengenezwa na maharage na kidani cha ganda la mbegu za miti
urembo wa ganda za konokono wa baharini
Category : Culture Jewelry
hivi huwekwa mezani kama pambo la nyumba
necklaces za shanga na kidani cha kiatu
Category : Culture Jewelry
necklaces za shanga na kidani cha kiatu karibuni ofisini
kinyago cha tembo tanzania
Category : Uncategorized
vinyago vya tembo vya kuchonga vinapatikana ofisini kwetu moshi mjini
hereni za rangi ya bendera ya tanzania
Category : Culture Jewelry
hereni hizi zina rangi nne ambazo ni bluu,kijani,nyeusi na njano
hereni za maganda ya mbegu za matunda
Category : Culture Jewelry
hereni hizi zimetengenezwa kwa maganda ya mbegu za matunda
hereni za maharage na shanga
Category : Culture Jewelry
hizi zimesukwa kwa shanga na mbegu za maharage
elephant carving from tanzania
Category : Uncategorized
vinyago vya tembo vinapatikana vikubwa na vidogo
lions carving from tanzania
Category : Uncategorized
vinyago vya simba dume vya mti wa mpingo vinapatikana karibuni sana
carved soapstone jewerly trinket box with zebra african design on
Category : Culture Jewelry
carved soapstone jewerly trinket box with zebra african design on
wooden masks from tanzania
Category : Uncategorized
kinyago cha mti chenye sura ya mtu
hereni za shanga na wire tanzania
Category : Culture Jewelry
hereni hizi zina rangi za silver,nyekundu na nyeusi,na zimesukwa kwa wire na shanga