rose quartz, sandstone with tanzanite bracelet
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
Bracelets za mawe ya rose quartz, sandstone na tanzanite.bangili moja yenye madini aina tatu tofauti
lava stone bracelet moshi
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
lava stone ni mawe meusi yanayotokana na mlipuko wa volcano katika mlima ambayo hutoka chini ardhini.
black obsidian bracelet tanzania
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
black obsidian ni mawe yenye rangi nyeusi yanayopatikana maeneo ya mlima kilimanjaro na yanatumika kutengeneza mapambo
green aventurine bracelet
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
Green aventurine bracelets zinapatikana ofisini kwetu moshi mjini jengo la posta,wote mnakaribishwa
hereni za tanzanite moshi
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
hereni hizi zimetengenezwa kwa silver na madini ya tanzanite
citrine and black stone bracelet
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
citrine ni jiwe la kuzaliwa kwa waliozaliwa mwezi novemba,citrine ina rangi ya njano yenye kuvutia.black stone ni madini yenye rangi nyeusi yanayotengeneza mapambo mbalimbali
malachite & tiger eye bracelet
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
hizi ni bracelets zilizotengenezwa kwa madini ya malachite na tiger eye
pink quartz bracelet moshi
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
pink quartz ni madini ya quartz ambayo yana rangi ya pink.pink quartz pia ni madini ya bahati pia yanaweza kumkinga mtu dhidi ya nguvu za giza na kumfanya jasiri
malachite bracelet tanzania
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
hizi ni bangili zilizotengenezwa kwa madini ya malachite ambayo hupatikana nchi ya congo
white quartz bracelet
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
white quartz ni mawe meupe yanayopatikana mkoa wa tanga lakin pia katika mgodi wa tanzanite.quartz ni mawe ya bahati,huondoa mikosi,huzuia nguvu za giza
bangili za sand stone
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
sandstone ni madini yanayopatika katika mkoa wa tanga.sandstone pia huitwa goldstone, madini haya yana rangi ya dhahabu ambayo huvutia na kufanya muonekano mzuri
rose quartz bracelet
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
rose quartz ni madini ya bahati yenye rangi ya pink.rose quartz pia huitwa pink quartz