Tunatangaza Biashara @Tsh.30,000 kwa mwaka.
Support: tanzaniaonlinemarket@gmail.com 0677775000
Follow us:
Total ads: 576 ads posted
Category : Culture Jewelry
pochi za ngozi za wanyama kama ng’ombe na mbuzi
necklaces za herufi na majina za mifupa
Category : Uncategorized
hivi ni vinyago vya mifupa ya wanyama vimechongwa na kufanya muonekano wa mamba
kinyago chenye sura ya kiboko kilichochongwa kutoka kwenye jiwe
vinyago vya shanga na wire vya asili ya kimaasai
necklaces za shanga na mifupa zenye umbo la misalaba
necklaces za kusukwa kwa shanga kubwa na kuwekwa vidani vya majani makavu ya migomba
cheni za shingoni zimetengenezwa kwa shanga na vifuu vya nazi
cheni za shanga ndogo zimesukwa kwa nyuzi na kuwekwa urembo wa kidani cha mfupa