hereni za tiger eye
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
tiger eye ni madini yenye rangi ya kahawia,dhahabu na kijivu.hutumika kutengeneza mapambo kama hereni,cheni,bangili n.k,madini haya hupatikana katika nchi ya afrika kusini,australia na India.