pete za silver na tanzanite moshi
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
Pete hizi zimetengenezwa kwa madini ya silver na tanzanite.tanzanite Inaweza kuwa na rangi ya bluu,kijani,pink au njano na hivyo kunifanya pete kuwa na muonekano mzuri na wa kuvutia.