blue tanzanite pendants
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
tanzanite ni jiwe la bahati la kuzaliwa kwa wale waliozaliwa mwezi december.tanzanite pia huvaliwa na mtu yeyote kama mapambo lakini pia madini ya bahati( luck stone).
kidani cha tanzanite
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
Tanzanite ni madini yanayopatika tanzania pekee katika mkoa wa manyara,madini haya hutumika kutengeneza mapambo ya kuvaa kama vile hereni,pete,vidani,na bangili