citrine and black stone bracelet
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
citrine ni jiwe la kuzaliwa kwa waliozaliwa mwezi novemba,citrine ina rangi ya njano yenye kuvutia.black stone ni madini yenye rangi nyeusi yanayotengeneza mapambo mbalimbali