View Ad
For Sale
lava stone bracelet
lava stone ni mawe meusi yanayotokana na mlipuko wa volcano yanayotumika kutengeneza mapambo mbalimbali.
View Ad
For Sale
tiger eye bracelet
tiger eye ni madini yanayofanana na macho ya mnyama anayeitwa tiger.madini haya yanatengeneza mapambo tofauti kama hereni,cheni,bangili lakini pia unaweza kuweka ndani kama mapambo
View Ad
For Sale
green malachite earrings
hizi ni hereni za madini ya malachite ambazo zimesetiwa na silver.malachite Ina rangi ya kijani iliyokolea na yenye kuvutia
View Ad
For Sale
malachite earrings
hizi ni hereni za madini ya malachite ambazo zimesetiwa na silver.malachite Ina rangi ya kijani iliyokolea na yenye kuvutia
View Ad
For Sale
malachite earrings tanzania
hereni za madini ya malachite zilizotengenezwa kwa silver na kusetiwa madini ya malachite
View Ad
For Sale
kidani cha malachite moshi
hivi ni vidani vya madini ya malachite ambavyo vimesetiwa na silver.
View Ad
For Sale
malachite bracelet tanzania
madini yenye rangi ya kijani yanayopatika nchi ya congo,yanayotumika kutengeneza mapambo yakuvaa.
View Ad
For Sale
bangili za malachite
bangili za malachite zimetengenezwa kwa nyuzi za rangi ya bendera ya tanzania ambazo ni kijani,bluu,nyeusi na njano.
View Ad
For Sale
tanzanite bracelet kilimanjaro
bangili hizi zimetengenezwa kwa uzi na kusetiwa kwa silver na madini ya tanzanite.
View Ad
For Sale
tanzanite bracelet moshi
bangili hizi zimetengenezwa kwa uzi na kusetiwa kwa silver na madini ya tanzanite.
View Ad
For Sale
bangili za tanzanite
bangili hizi zimetengenezwa kwa uzi na kusetiwa kwa silver na madini ya tanzanite.
View Ad
For Sale
tanzanite rings moshi tanzania
Pete hizi zimetengenezwa kwa madini ya silver na tanzanite.tanzanite Inaweza kuwa na rangi ya bluu,kijani,pink au njano na hivyo kunifanya pete kuwa na muonekano mzuri na wa kuvutia.