hereni za coins za muingereza
Category : Wakopeshaji
hereni zimetengenezwa na sarafu za zamani za muingereza pamoja Na shanga
beaded maasai necklaces
Category : Wakopeshaji
necklaces kubwa zenye round pana zilizotengenezwa kwa shanga na wire,ni imara kabisa na zinadumu Kwa muda mrefu
shanga za shingoni
Category : Wakopeshaji
shanga za shingoni za rangi tofauti kama bluu,nyekundu,kijani,purple zinapatikana ofisini karibuni sana
necklaces za shanga na majani ya mgomba
Category : Wakopeshaji
necklaces za shingoni zimetengenezwa kwa majani ya mgomba,uzi,shanga kubwa za rangi tofauti
culture necklaces
Category : Wakopeshaji
zimetengenezwa kwa miti ya mianzi,mbao,pamoja na shanga nyeusi za kuvutia
necklaces za shanga nyeupe na gold
Category : Wakopeshaji
necklaces za rangi za gold na nyeupe,pia ni nzuri mpya kabisa
new maasai necklaces
Category : Wakopeshaji
necklaces za kimaasai za culture na zenye rangi tofauti kama nyeupe,gold,nyeusi, na silver.
necklaces za shanga na mianzi
Category : Wakopeshaji
necklaces zimetengenezwa kwa mianzi na shanga na kidani cha silver
necklaces za shanga na wire
Category : Wakopeshaji
cheni zimetengenezwa kwa wire na shanga za rangi za bluu na urembo wa silver
necklaces za shanga na ivory
Category : Wakopeshaji
shanga za shingoni zimetengenezwa kwa pembe za wanyama,mbao na rangi za tofauti
cheni za shanga kubwa
Category : Wakopeshaji
necklaces zenye rangi za bendera ya tanzania, na zilizotengenezwa vizuri
shanga nyekundu za shingoni
Category : Wakopeshaji
necklaces za shanga nyekundu ndogo na kubwa nzuri zakupendeza zipo dukani kwetu karibu sana