kinyago cha simba
Category : Culture Jewelry
vinyago vya simba dume na jike pia vipo ofisini karibu ujipatie bei nafuu
kinyago cha tembo
Category : Culture Jewelry
vinyago vya tembo vikubwa na vidogo vinapatikana karibuni sana
zebra earrings
Category : Wakopeshaji
hereni za rangi ya pundamilia zimesukwa kwa wire na nyuzi nakufanya kuwa rangi ya milia
hereni za shanga original
Category : Wakopeshaji
hereni nzuri za shanga ndogo zenye rangi kijani na njano
hereni za rihanna
Category : Wakopeshaji
hizi ni hereni za round zenye picha ya mwanamke mrembo aliyevaa kiasi leo
hereni za shanga nyekundu
Category : Wakopeshaji
hereni za shanga nyekundu za kuning’inia zinapatikana karibuni
hereni shanga za gold
Category : Wakopeshaji
hereni zenye njano na gold zakuvutia zipo karibu ujipatie
hereni za shanga
Category : Wakopeshaji
hereni zenye rangi ya njano, orange,kijani,blue,nyekundu na nyeupe
hereni za umbo la twiga
Category : Wakopeshaji
hereni nzuri za kuning’inia urembo wa shape ya twiga,tembelea ofisi zetu jirani na posta moshi mjini
silver earrings
Category : Wakopeshaji
hereni nzuri za urembo unaofanana na simba zinapatikana karibuni sana
hereni za round za shanga
Category : Wakopeshaji
hereni nzuri za shanga zenye umbo la duara za rangi nyeusi, nyekundu, njano,na nyeupe
hereni za shanga rangi ya bendera
Category : Wakopeshaji
hereni nzuri zimesukwa kwa wire na shanga za kijani,njano,bluu na nyeusi