raw emerald pendants
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
emerald ni madini yanayopatikana katika nchi ya tanzania na katika nchi nyingine kama colombia,brazil,zambia.emeralds is the birthstones of may
raw ruby pendants
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
inapatikana nchini tanzania katika mkoa wa arusha wilaya ya longido,ni jiwe la bahati la kuzaliwa la mwezi july
raw amethyst pendant
Category : 'Tanzanite & Jewelry/Urembo Mapambo
amethyst ni aina ya madini yanayopatikana katika bara la africa katika nchi za zambia,namibia,siberia, na katika nchi ya tanzania zinapatikana mkoa wa tanga na yana rangi ya zambarau.
tanzania neckties
Category : Culture Jewelry
tai za shingoni zenye rangi ya bendera ya tanzania zilizosukwa kwa shanga ndogo za kijani,njano, nyeusi na bluu
wooden fridge magnets
Category : Culture Jewelry
fridge magnets za material ya mbao zenye shape za oval na wanyama kama tembo,twiga, fisi,na pia zimechorwa picha ya mlima kilimanjaro na kibo
keys holder za wanyama
Category : Culture Jewelry
holder za funguo zenye vinyago vya wanyama kama simba,chui,tembo na wengine vyenye rangi nyeusi na brown
keys holder za africa
Category : Culture Jewelry
keys holder zilizotengenezwa kwa ngozi design ya ramani ya bara la africa na zinavutia kwa ajili yakuweka funguo zako
keys holder za tanzania
Category : Culture Jewelry
zimetengenezwa kwa kipisi cha ngozi iliyokatwa na kufanya umbo la ramani ya tanzania, zinadumu kwa muda marefu karibuni
keys holder
Category : Culture Jewelry
keys holder kwa ajili yakuweka funguo,zimetengenezwa kwa ngozi na wire ili kuhifadhi funguo bila wasiwasi
hippopotamus carvings
Category : Uncategorized
vinyago vya wanyama wakubwa aina ya viboko vya kuchonga vya mti wa mpingo vinapatikana kwa ajili ya mapambo ya nyumbani,hotelini,ofisini n.k
kinyago cha sura ya moran wa kabila la maasai
Category : Culture Jewelry
vinyago vya asili ya makabila kama maasai vipo karibuni
kinyago cha asili ya mwanamke wakimaasai
Category : Culture Jewelry
kinyago cha mti wa mpingo kinachoonesha asili ya wanawake wa kabila la maasai