turquoise bracelet
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
**Turquoise** ni jiwe la thamani linalotambulika kwa rangi yake ya buluu au buluu kibuluu, na mara nyingi huwa na vivuli vya kijani. Ni mineral yenye kemikali ya shaba, alminia, na fosforasi, ikiwa na formula ya kemikali CuAl6(PO4)4(OH)8·4H2O. Hapa chini kuna
golden sandstone bracelet
Category : 'Tanzanite & Other Stones Jewelry/Urembo Mapambo
Golden sandstone ni aina ya jiwe la asili lililotengenezwa kutokana na mchanga wa rangi ya dhahabu au rangi ya shaba, ambayo inatokana na mineral za quartz au feldspar.
Tiger eye bracelet
Category : Culture Jewelry
tiger eye (jicho la tiger)ni aina ya jiwe la thamani au madini ambayo yana mwonekano wa kipekee wa mng’ ao kama wa jicho la paka/tiger,tembelea ofisi zetu jengo la posta moshi mjini ujipatie bracelet za tiger eye